kiongozi mzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Tundu Lissu nisikilize, upepo wa kisiasa uko kwako 100% lakini mkakati wa kuibiwa kura umeshaanza kusukwa, jiandae

    Mimi sio mwanachama wa Chadema na sifurahii siasa zao za kutukana tukana viongozi hivyo hasa vijana wao wanavyofanya harakati za kijinga mitandaoni jambo linalosababisha wawaudhi viongozi wa serikali na ndio maana wanakamatwa kamatwa hivyo lakini najaribu kulinganisha sifa za uongozi kati ya...
  2. K

    Pamoja na ukweli Mbowe ni kiongozi mzuri sana lakini misimamo mikali ni muhimu kwa sasa

    Mbowe ni kiongozi mzuri kuliko viongozi wote wa vyama vyote hapa Tanzania huo ndiyo ukweli. Hii ni kwasababu ya uzoefu wake kwenye biashara. Hivyo tusije kijidanganya kwamba CHADEMA inaweza kupata kiongozi bora mmoja. Hata Kama Lissu akipata uwenyekiti ni lazima awekewe watu makini sana wa...
  3. Manfried

    Mbowe ni kiongozi mzuri ila kiroho ameshakataliwa na akilazimisha kutaka kuwa Mwenyeketi itamletea madhara hasi.

    Kwanza hongera Sana Mh Mbowe Pia hongera Kwa uongozi wako wa miaka 20 Kama mwenyekiti wa chadema na miaka 15 Kama Mbunge. Swala la wewe kuwa mwenyekiti wa hicho chama hautaweza na ukilazimisha itakuletea madhara hasi. Yapi madhara hasi yatatokea Utakosa nguvu Utakosa Sauti ya kusikika...
  4. gcmmedia

    Lissu: Wakili msomi, mwanasiasa asiye kiongozi mzuri

    Mimi namwona Tundu Lisu, mtu imara sana, mwanasheria mzuri, mzalendo wa kweli kwa Taifa lake na mtu mwenye misimamo thabiti asiyeyumbishwa. Baada ya kumsikia Jana akitangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA taifa nilijifunza kitu kipya kuwa, pamoja na uzuri na uwezo mkubwa sana...
  5. Erythrocyte

    Umoja wa wanawake CCM wasikitishwa na udhalilishaji wa Makonda, watoa tamko

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Marry Chatanda ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alichokiita unyanyasaji na udhalilishaji wa watendaji wanawake kwenye maeneo yao ya kazi. Chatanda ameyasema hayo leo Jumamosi, Mei 25, 2024 jijini Dodoma...
  6. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Mbunge Jafari Chege amesema kiongozi mzuri ni yule anayeweka alama kwa wananchi

    Mbunge wa Jimbo la Rorya, Mhe. Jafari Wambura Chege amesema ndani ya siku 30 Serikali itaanza matengenezo ya Barabara ya Nyarombo - Siko - Busanga ya Kilometa 8 baada ya Serilkali kutenga Milioni 90 kwaajili ya Matengenezo hayo. Mhe. Jafari Chege amesisitiza wananchi wa Kijiji cha Busanga Kata...
  7. 2019

    Makonda ni kiongozi mzuri ila mfumo unamkataa. Ni hatari kwake

    Nisiwe mnafiki, huyu kijana nilimchukia sana enzi za Magufuli. Baada ya Magufuli kutangulia na uongozi dhaifu wa Samia asee Makonda ni bonge la kiongozi. Nimegundua hilo kupitia ziara zake mikoani. Hata kama ni kisiasa lakini asemayo mtu yanatoka moyoni mwake. Kwa spidi ya huyu kijana mapapa...
  8. L

    Kuwa na Kiongozi mzuri kama Rais Samia na kutumia jina lake kama brand ni mtaji wa kisiasa

    Hili ndilo linalohalalisha uwepo wa madarakani - kwani kila kitu kinasemwa kimefanywa na Rais Dr. Samia. Ikitokea mkawa na Rais asiyejali watu, anayetisha tisha watu, watu wanapotea, analinda maslahi yake na watu wake tu, haleti maendeleo kwa watu wake, hajali bei za bidhaa zinaongezeka, yaani...
  9. Kabende Msakila

    Lissu Antipas Tundu aweza kuwa kiongozi mzuri kumpita Rais Samia?

    Napata wakati mgumu kuwalinganisha Rais Samia Suluhu na Tundu Lissu ktk masuala ya kiuongozi. # Lissu kashitakiwa mara 10 wkt Rais Samia kbl ya kuwa Rais hakuwa ameshitakiwa; # Lissu kaishi muda mrefu ktk nchi inayoruhusu ndoa za jinsia moja wkt Rais Samia ni uzao wa Zanzibar; # Lissu ni...
  10. M

    Bashe ni Kiongozi mzuri atafika mbali, lakini ulichofanya Nanenane Mbeya Mungu anakuona

    Bashe unachofanya kwenye kilimo lazima Watanzania tukupongeze hasa sisi wakulima. Na Kwa kweli kama nchi hii utakuja kuwa Rais wakulima tutaheshimika kama ulaya na marekani. Umetutetea Wakulima tuuze mazao kokote tunakoweza kupata faida Hilo tunakushukuru. Lakini hebu fikiria wananchi wa Sae...
  11. M

    Bashe ni Kiongozi mzuri atafika mbaki lakini ulichofanya nane nane Mbeya Mungu anakuona

    Bashe unachofanya kwenye kilimo lazima watanzania tukupongeze hasa sisi wakulima. Na Kwa kweli kama nchi hii utakuja kuwa Rais wakulima tutaheshimika kama ulaya na marekani. Umetutetea Wana tuuze mazao kokote tunakoweza kupata faida Hilo tunakushukuru. Lakini hebu fikiria wananchi wa Sae...
  12. Pang Fung Mi

    Tanzania haijawahi kupata Kiongozi kwa tafsiri halisia ya Kiongozi

    Uongozi ni dini na dini ni ibada na dini ni kuungama, kutubu, kuwa msafi, kukataa uwongo na unafiki. Kwa awamu zote za utawala toka uhuru nchi hii haijapata kiongozi , ni ukweli usiopingika haijatokea. Hoja yangu, hawa viongozi wamekuwa na watu wao wanaowaamini, they have had people whom they...
  13. BigTall

    Michongo ya kutishana na kuamini ukitokea kwenye umasikini ndio unakuwa kiongozi mzuri inatufelisha

    Japokuwa sina elimu au ufahamu mkubwa kuhusu ile ishu ya viongozi wa umma kuweka wazi mali zao kwenye mamlaka husika lakini nina uhakika kuna vitu havipo sawa. Nawaza hivi kweli viongozi wetu wanaandika mali zao wanazomiliki za ukweli TAMISEMI au tunapigwa changa la macho? Kama vipi tuwe kama...
Back
Top Bottom