kiongozi wa hamas

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    UNRWA yakiri Kiongozi wa Hamas aliyeuawa Lebanon alikuwa muajiriwa wake, alipewa likizo bila malipo kupisha uchunguzi

    News alert UNRWA yakiri Kiongozi wa Hamas aliyeuawa Lebanon alikuwa muajiriwa wake, alipewa likizo bila malipo kupisha uchunguzi Wadau hamjamboni nyote? Shirika la umoja wa mataifa la kushughulikia wakimbizi wa Palestina UNRWA imekiri hadharani kuwa kiongozi mwandamizi wa magaidi wa Hamas...
  2. Huihui2

    Kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar aondoka Gaza akiwa amevaa kama Mwanamke

    Jana Yahya Sinwar ameondoka Gaza akiwa amevaa Hijab --- Hamas leader Yahya Sinwar has been hiding among Palestinians “dressed as a woman” after abandoning Gaza’s terror tunnels, Israeli intelligence sources said last night. The architect of the October 7 atrocities was already a target on...
  3. G

    Baada ya Rais wa Iran kumuomba Ayatollah asiishambulie Israel, Makamu wa Rais kajiuzulu, Vifo vya Rais aliepita na Kiongozi wa Hamas vyaleta hofu

    Kinachoendelea kwa sasa Iran, viongozi wa juu wanapaza sauti wasikike kwamba Israel isishambuliwe, Juhudi hizi zinawasaidia kukwepa kilichowakuta Rais aliepita na Kiongozi wa Hamas akiwa Iran. Wiki iliyopita Rais wa Iran alimsihi sana Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah khamenei asithubutu...
  4. Baba Dayana

    Yahya Sinwar, kiongozi wa HAMAS

    Je, unajua hadithi iliyo nyuma ya picha hii ya kitambo? Mnamo Mei 16, 2021, utawala wa Israel ulishambulia kwa bomu nyumba ya Yahya Sinwar iliyoko Khan Yunis, kwa nia ya kumuua. Vyombo vya habari vya Kiebrania viliripoti kwa ujasiri kwamba misheni hiyo ilifanikiwa na kwamba walikuwa wamemwondoa...
  5. U

    Kiongozi wa Hamas aliyeongoza mauaji ya Wayahudi ukingo wa magharibi wa mto Jordan auawa na IDF

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa mpya hiyo kubwa la magaidi almaarufu Nael Sakhel ameuawa katika shambulizi la IDF huko Gaza Soma zaidi hapo chini: Mungu ibariki Israel ============= IDF: Top Hamas operative who directed West Bank terror killed in recent Gaza strike A senior Hamas member in...
  6. Huihui2

    Yahya Sinwar: Huyu Ndiye Kiongozi Mpya wa Hamas

    MODS: Mumeharibu uzi wangu kwa kuchanganya na habari za uwongo. Narudia ku-post upya. Tafadhali uacheni. Yahya Sinwar ameteuliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa Hamas kumrithi Ismail Haniyeh aliyeuliwa majuzi akiwa Iran na mazishi yake yalifanyika Qatar. Yahya Sinwar ndiye aliyepanga na kuratibu mauaji...
  7. H

    Tetesi: MOSSAD wa Israel wanatumia aliens?

    Shirika la kijajusi la Israel MOSSAD linadaiwa kutumia viumbe vya Allen's katika operesheni zao, Inaelezwa kuwa mossad wanawatumia Allen's kuwafanyia kazi zao, Kufuatia kuuliwa Kwa kiongozi mkubwa wa hamas hapo Jana, Ismael hayineh, Wachambuzi wengi wanashangaa kuhusu uwezo wa mossad wanawezaje...
  8. U

    Ayatollah Khamenei aongoza sala mbele ya jeneza la Ismael Haniyeh aliyeuawa na Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Ayatollah Ali Khamenei ameongoza maelfu ya watu kuaga mwili wa Jemedari na Kiongozi jasiri wa kundi la hamas Ismael haniyeh aliyeuawa na magaidi wa Kiyahudi. Ama Kwa hakika ameagwa kishujaa na atazikwa Doha. Taarifa kamili hapo chini. ========== BEIRUT (AP) — Iran’s...
  9. W

    Israel ina-target zaidi maadui zake ili kupunguza casualities za raia wa kawaida. Rais wa Iran na kiongozi wa Hamas ni mifano

    Vikundi vya kigaidi kama Hamas hutumia raia wa kawaida kina mama na watoto kuwa ngao ili kuipa Israel wakati mgumu kwenye mashambulizi tofauti na wao wakipata hata nafasi ndogo ya kuingia Israel kama October 7 walilenga zaidi kuua raia yeyote lengo likiwa kuua waisrael wengi kadri iwezekanavyo...
Back
Top Bottom