Kiongozi wa kijeshi wa Gabon, Jenerali Brice Oligui Nguema, ametangazia nia yake ya kugombea urais katika uchaguzi ujao wa mwezi ujao (April, 2025).
Nguema alishika madaraka mwaka 2023 kupitia mapinduzi ya kijeshi ambayo yalikomesha utawala wa muda mrefu wa familia ya Bongo. Wakati huo...
Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Ibrahim Traore, amemfuta kazi Waziri Mkuu Apollinaire de Tambela na kuvunja serikali ya nchi hiyo.
Tamko lililotolewa na ofisi ya Rais Traore jana, Disemba 6 limesema kuwa wadhifa wa Waziri Mkuu umefutwa, lakini hakuna sababu maalum iliyotolewa kwa uamuzi...
Kichapo kinaendelea, Israel yamuua MOHAMED DEIF. Huyu bwana ndio yule alosifiwa siku Kadhaa humu JF na wale jamaa!
=============
JERUSALEM (AP) — The Israeli military said Thursday that it has confirmed that the head of Hamas’ military wing, Mohammed Deif, was killed in an airstrike in Gaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.