kiongozi wa kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Rais Samia Suluhu ndie kiongozi pekee wa kisiasa Tanzania ambae ni kielelezo cha uzalendo na nembo ya umoja wa kitaifa na kimatafa

    Nia na dhamira yake njema ni ya wazi na yenye lengo la kuhakikisha umoja, amani na utangamano miongoni wananchi na Tanzania kwa ujumla, ni imara licha ya utofauti wa mirengo ya kisiasa au kidini, lakini kama Taifa tunabaki kua ndugu, jamaa na marafiki kwa maslahi mapana ya Taifa. Dr.Samia...
  2. figganigga

    Rostam: Tuungane kukomesha vitendo vya kishetani katika nchi yetu. Poleni CHADEMA

    TAARIFA YA ROSTAM AZIZI KUFUATIA MAUAJI YA KIONGOZI WA KISIASA Katika siku za karibuni nchi yetu imeshuhudia kujirudia tena kwa matukio ya kikatili ambayo yamehusisha kuripotiwa kwa vitendo vya utekaji, utesaji na jana tukashuhudia tukio baya zaidi la mauaji ya kiongozi wa Chadema, Ndugu...
  3. Tlaatlaah

    Ukijihisi una wito wa kuwa kiongozi wa kisiasa usisite, thubutu

    Dhamira yako ya ndani kabisa, ikupe ujasiri wa kuanzia hapo ulipo, tena kwa mambo madogo kabisa yaliyo ndani ya uwezo wako. Mawazo yako, maono yako, ubunifu wako, ushauri wako, ujengaji hoja wako uthubutu wako kwa maneno na matendo ndio viwe vyanzo vya ushawishi wako kwa jamii. Hicho ndicho kiwe...
  4. Kamanda Asiyechoka

    Kiongozi yoyote wa chama cha siasa akikaa madarakani zaidi ya miaka 20 bila kuleta mafanikio hafai, anajaza tumbo lake

    ~ Miaka 20 na usheee bila ofisi ya makao makuu yenye hadhi. ~ Miaka 20 na ushee bila kukamata dola. ~ Wabunge wanapatikana kwa mbinde. Hufai kuwa kiongozi.
  5. B

    Rais Samia anavyowaandaa wanawake wamchague mwanamke 2025, vyama pinzani navyo viruhusiwe kufanya siasa kupambana na huyo Mwanamke

    Rais ametangaza rasmi kwamba wanawake watakuwa na kazi yakumpata Rais mwanamke 2025 means kwa kauli hii amewaambia chama chake kwamba mgombe atakuwa mwanamke aidha yeye au mwanamke mwingine. Hii inatoa tafsiri ya wazi kwamba wanaume kwa upande wake awataruhusiwa kupambana na mwanamke...
  6. Chee4

    Baadhi ya Vijana CHADEMA wamtaka Mbowe kujiuzulu; kesi ya ugaidi inamuondolea sifa ya kuwa kiongozi wa kisiasa

    Hivi karibuni tumeshuhudia wimbi kubwa la vijana wa CHADEMA nchini wakitofautiana kabisa na mawazo ya mwenyekiti wao wa Taifa, hii inakuja baada ya vijana hao kuona kuna haja ya Chama hicho kuanza kujitafakari chenyewe kwanza kabla ya kuanzisha vuguvugu la kudai katiba mpya ya nchi nzima. Suala...
Back
Top Bottom