Cornele Nangaa Yobeluo ,aliwahi kuwa Mkuu wa tume ya uchaguzi ya Congo, uchaguzi uliomuingiza Rais Felix Tshishekedi Tshilombo
Nangaa ambae Kwa Sasa ndio kiongozi wa muungano wa waasi ndio anayepeperusha Bendera ya waasi kuelekea Kinshasa
Nangaa na Felix walipishana mtazamo akaondolewa ktk...