KHALIMA BINT KHAMISI MMOJA WA WANAWAKE MSTARI WA MBELE KATIKA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA 1954
Kumbukumbu za wazalendo mfano wa Bi. Halima bint Khamis hazipo popote hata ukienda ofisi ya CCM Lumumba Avenue hutaona picha yake katika kuta wala hutaona picha ya yeyote katika wale waliopigania...