Kumekuwa na Mwingiliano Mkubwa kiasi kwamba hatuelewi kinachoendelea.
Nani ni kiongozi wao?
Ofisi za Bongo movie ziko wapi?
Nani anahusika kuchagua waigizaji kunapotokea fursa na wanaangalia vigezo vipi?
Na je kama una kipaji unaanzia wapi au ndo ile uanze kujikomba na kutoa virushwa...