Mawakala wa Utalii mkoani Kilimanjaro ,wameitaka serikali kuifuta mara moja Taasisi isiyo ya kiserikali iitwayo Kilimanjaro Porters Assitance Project (KPAP)kwa kile wanachodai taasisi hiyo inachafua taswira ya biashara ya utalii nchini.
Wanadai kuwa, KPAP inaeneza propaganda chafu za kuwachafua...
Mawakala wa Utalii mkoani Kilimanjaro, wameitaka serikali kufanya uchunguzi na kutoa tamko rasmi juu ya uwepo wa Taasisi moja inayoendesha harakati za kuwachafua kwa mawakala wa Utalii Ulaya.
Taasisi hiyo iiitwayo, Kilimanjaro Porters Assistance Project (KIPAP) imetoa orodha ya makampuni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.