Kila mtu anapenda kumiliki kitu kizuri ila baadhi kipato hakiruhusu, hii imepelekea kuwepo kwa bidhaa za kila aina sokoni ili kubeba pesa yoyote mteja aliyonayo. Kwa upande wa TV zipo kampuni nyingi sana na hapa nazigawa kwenye makundi matatu
1. Samsung LG SONY Panasonic
2. TCL Hisense...
Ukiwa mzinzi, utaandelea kuwa masikini.
Uzinzi haupatani na HELA. Uzinzi unaua FOCUS.
Kuna jamaa mmoja nilienda kumtembelea huyu jamaa mzinzi sana ila ameishia kuishi kwa madeni ya hapa na pale.
Malaya hana uwezo kukumbusha kujenga au kununua tofali au kufungua kampuni.
Katika dunia ya sasa, ambapo gharama za maisha zinapanda kila siku, ni muhimu kutafuta njia za ziada za kuingiza kipato bila kuacha kazi yako ya sasa. Hapa kuna njia 7 rahisi ambazo unaweza kujaribu:
1. Kufanya Kazi za Freelance: Ikiwa una ujuzi kama vile kuandika, kutafsiri, kubuni tovuti, au...
Kwema Wakuu!
Kuna aina tatu za Maskini.
1. Maskini wa kutupwa (Fukara)
2. Maskini wa kawaida
3. Maskini aliyechangamka.
1. Maskini Fukara
Maskini Fukara hili kundi ni wale Watu ambào kula yao ni mshikeshike, hawana pakuishi, yaani hawa ndio huitwa hohehahe. Hawa kwa asilimia kubwa wamekata...
KAMA HIVI NDIVYO UNAVYOISHI MJINI NI BORA URUDI TU KIJIJINI UKAISHI KULINGANA NA KIPATO CHAKO.
Yawezekana hii isiwe makala nzuri kwa waishiyo mijini huku wakijisifu kila siku na kuwabeza waishiyo vijijini ila ukimakinika na kuchukulia chanya basi kuna jambo utajifunza. Kuishi mjini ni ndoto ya...
Je, unatafuta njia mpya ya kujiongezea kipato chako na kuanzisha biashara yako mwenyewe? Tunayo fursa nzuri kwa ajili yako! Jiunge na Programu yetu ya Reseller leo na uanze kujipatia pesa kwa urahisi.
Reseller Program ni nini?
Programu yetu ya Reseller inakupa nafasi ya kuuza bidhaa zetu za...
Leo nitagusia kuhusu Sproutsgigs.Hii ni website ambayo unaweza jiingizia hela yako kwa kufanya task (kazi) utakazo kuta umepewa kwenye dashboard yako.Lakini pia unaweza toa kazi kwa mtu akakufanyia kwa niaba yako kwa malipo mtakayo kubaliana.
Nimejiunga Sproutsgigs mwezi mmoja nyuma na...
“Kweli natafuta na napata… lakini fedha hazitoshi kabisa…”. Hizo ni kawaida kuzisikia kauli hizi katika maisha ya kila siku ya watanzania wengi hususan huku uswahilini kwetu ambapo wengi tunafanya kazi za kipato cha chini.
Ingawa kuweka akiba ni mtihani mkubwa kwa watanzania wengi, lakini ni...
Haiwezekani kila anayewekeza kwenye viwanja na nyumba apate mafanikio makubwa. Hii inasababishwa na sababu mbalimbali.
Kwenye ukurasa huu nimekuandalia mambo saba ambayo yatakufanya kipato kiongezeke mara mbili kilivyo sasa.
Mambo 7 Ya Kuzingatia Ili Uongeze Kipato Mara Mbili.
MOJA.
Mtazamo...
Heshima kwenu Wakuu.
Nimebahatika kuishi Nchi za wenzetu kwa Mabeberu, kiasi fulani nimejifunza mambo kadhaa.
Sisi Wabongo tunaishi maisha ya ujamaa, yaani kugawana kidogo tunachokuwa nacho ili kila mtu apate japo mkate. Hali hii inatokana na ukweli kuwa idadi kubwa ya sisi wabongo bado...
Unapata kipato chako mfano laki tano kwa mwezi, mtu anakuambia pesa yako hii bila kujua unawalipa watu wengine wewe hujilipi, swali la kujiuliza kwani hii laki tano si ya kwangu najilipaje sasa wakati laki tano hii ni yangu?
Ni kweli yako lakini sasa katika laki tano mfano utagawa mahesabu kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.