kipato kikubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. King Jody

    Je, wajua kuna kazi ambazo zinadharaulika katika lakini zina kipato kikubwa?

    Hello wana jamii kwema humu? Kuna baadhi ya kazi/Shughuli ambazo watu wanazichukulia poa lakini zina kipato cha maana, Kwa mfano kuna mtu namfahamu kazi yake ni kuzibua vyoo, lakini anakwambia anaingiza pesa za kutosha, jamaa amekuwa maarufu kwa kazi hii, ana familia na maisha yanasonga kama...
  2. X

    RUSSIA ECONOMY: Ripoti mpya ya World Bank yaidhinisha Russia kuingia kundi la mataifa yenye kipato kikubwa duniani licha ya kuwa vitani na vikwazo

    Benki ya Dunia imechapisha ripoti ambayo imeidhinisha Urusi kama nchi yenye kipato kikubwa. Kigezo cha nchi iwe katika kundi la mataifa yenye kipato kikubwa duniani ni pale wastani wa pato la mtu mmoja katika taifa husika liwe kuanzia USD 14,005 Kulingana na ripoti ya WB, mwaka 2023 wastani...
  3. L

    SoC02 Namna nilivyoweza kupunguza gharama za kilimo kwa kutengeneza mbolea yenye uwezo mkubwa wa ajabu

    Kilimo tangu nyakati za uhuru mpaka leo hii ndiyo sekta pekee inayoajiri asilimia kubwa ya watanzania. Inakadiriwa kuwa zaidi ya 60% ya watanzania wamejiajiri au kuajiriwa katika sekta ya kilimo. Na kilimo imekuwa mhimili mkubwa wa maisha ya kila siku ya watanzania wengi. Pamoja na kuwa kilimo...
  4. Shaycas

    Maarifa na Elimu Muhimu katika Maisha

    Soma kitabu hiki kuongeza maarifa na kipato zaidi 'WEWE NI TAJIRI: UMASIKINI UNAUTAKA MWENYEWE' kutoka CALIPA - CAS Life Purpose Academy Unajali Mafanikio yako, ya Mwanao au Ndugu yako Katika Elimu, Kijamii na Kiuchumi? Jisomee kitabu hiki: "MTOTO NA MAFANIKIO" hapa CALIPA - CAS Life Purpose...
  5. Aliko Musa

    Jinsi mwajiriwa anavyoweza kujenga utajiri kwa kumiliki nyumba za kupangisha zenye kipato kikubwa

    Tunatafuta usalama na uhuru. Usalama na uhuru ndiyo huendesha maisha ya watu wote duniani. Kwenye ukurasa huu nina kuonyesha makundi makuu mawili (2). Kundi la kwanza ni lile linalotafuta usalama wa maisha yao ya kifedha. Kundi la pili ni lile ambalo wanatafuta uhuru wao wa maisha yote...
  6. Ncha Kali

    Je, ni kweli wanaume hawataki mke 'golikipa' na mwenye kipato kikubwa?

    Leo nimeulizwa hili na huyu mtoto wangu mkubwa. Eti, wanaume wa leo hawataki mke ambaye ni mama wa nyumbani (asiye na shughuli ya kipato). Wakati huo huo, wengi wao hawataki mke mwenye kipato kikubwa au 'mishe' kubwa/nyingi kuwazidi. Ni kama haieleweki wanataka yupi. Je, huu mtazamo ni kweli...
  7. Per Diem

    Norway kazi za risk zina pesa nyingi, tusiogope risk katika maisha

    Nimeona watu wengi sana wakiogopa kazi ambazo ni risk. Lakini wanashindwa kuelewa kuwa kazi ambazo zina risk kubwa ndio zenye pesa nyingi. Simaanishi huku Norway kazi ambazo hazina risk hazina pesa, hapana. Kwanza kazi zenye pesa ni zile za wale skilled ambazo kwa mhamiaji huwezi kupata...
Back
Top Bottom