Kwanza kabisa nakubaliana kuwa maisha hayana kanuni kwenye kuyaishi. Kila mmoja ana njia zake za kujipatia kipato ili mradi ni halali. Pia kila mmoja ana tafsiri yake ya utajiri na umaskini. Kwa upande wangu kama una kipato cha chini ya $10000 (Approximately Tsh 28m) kwa mwaka basi wewe ni...