Kama hutaki njoo Niue nipo tandale huku naishi chumba Cha Giza Cha Kodi ya TSH 25,000/= ( simu zangu naachaga Kwa mangi kipindi Cha mvua maana mafuriko yakitokea huenda yakaondoka na simu zangu ๐๐๐ )
Sikia rafiki ikiwa unafanya kazi ya ulinzi kama Mimi๐ ya kulipwa 120k per month siyo case...