JamiiForums imefanya mahojiano na Rose Senyagwa, Mtaalam na Mchambuzi wa Hali ya Hewa kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), ambapo alieleza kwa kirefu nini watu wanatakiwa kufanya ili kujilinda pale kunapokuwa na radi
====
Radi ni nini?
Radi ni umeme, umeme huu unatoka katika mawingu na hasa...
TANESCO zamani nguzo za umeme hizi za milingoti zilidumu hadi miaka 20 na kuendelea kwa sababu licha ya treatment ya kuchemsha kwenye dawa, ziada ilikuwa
1. Shimo la kusimikwa nguzo kulimiminwa zege
2. Baada ya kuisimamisha nguzo ilishindiliwa kwa zege
3. Nguzo zilidumu kipindi kirefu sana...
Kipindi cha mvua uzalishaji wa dhahabu hupungua ,je wajua na nini suluhisho.
Uzalishaji wa dhahabu au jina jingine huitwa kuchenjua dhahabu,hutumia njia za kikemikali ambazo hutegemea pia hali ya hewa ya asili ya sehemu husika.
Katika kipindi cha mvua ,hali ya hewa ya mawingi huchangia kufanya...
Nyasi ni aina ya mimea inayojumuisha familia mbalimbali ya Poaceae (au Gramineae). Mimea hii ina tabaka ya nje ngumu inayoitwa utando wa nje, inayojulikana kama epidermis, na tabaka la ndani lenye seli zinazojaa maji. Zaidi ya hayo, nyasi zina mfumo wa mizizi ambao unajumuisha mizizi mingi...
Ili kuepuka au kupunguza madhara ya kiafya yanayoweza kuletwa na mvua kubwa au mafuriko, Wizara ya Afya inatoa rai kwa wananchi kuchukua tahadhari zifuatazo wakati wa mafuriko:
1. Watahadharishe watoto na watu wengine kukaa mbali na mitaro ya maji, nguzo za umeme, kuta za nyumba na maeneo...
Nini kimeongezeka kwenye baridi mpaka wanawake waringe?
Kumekuwa na tabia kipindi hiki cha mvua na baridi sisi wanaume kunyimwa unyumba tatizo ni nini jamani😭😭😭😭😭😭😭😭
Wakuu,
Mbezi Beach inasifika kuwa kuwa na wadosi watu wazito na viongozi mbalimbali hasa upande wa chini. Lakini kipindi hiki cha mvua Mbezi haitamaniki, barabara za ndani ni mbovu kupita maelezo, yaani utafikiri uko pale urafiki wanapouza kwenye soko la ndizi.
Kwa kwa jinsi Mbezi Beach...
Kumekuwa na tabia ya wananchi wasiostaarabika kufungulia chemba za vyoo(Kutapisha Vyoo) kipindi cha mvua zinaponyesha.
Hii tabia ya kishenzi ipo hasa Dar es Salaam mitaa ambayo miundombinu ya gari la kunyonya majitaka ni mibovu kiasi kwamba hapafikiki kwa urahisi. Pia wengine wenye tabia hiyo...
Kipindi cha mvua barabara nyingi zinazounganisha Vijiji vilivyopo Mkoani Ruvuma hazipitiki kirahisi na zingine hazipitiki kabisa. hali inayopelekea wanakijiji wengi kusafirisha mazao yao kwa shida toka eneo moja kwenda eneo lingine.
Inayoonekana katika picha ni barabara iliyopo katika Kata ya...
Hapa ndipo nathibitisha kuwa mwanamke ni pambo la dunia, moja kati ya mapambo manne yaliyoanishwa na mtoto wa Nasib kisanaa.
Ukikutana na mwanaume tall and dark akiwa ndani ya jacket ambalo ni water proof akikatiza chocho hadi chocho kwenye mvua kali ujue ni mimi. Nafanya tathmini ya vazi hili...
Ukitaka kujua ubora wa eneo unalofikiria kuhamia kwa kujenga makazi au kupanga tafuta eneo hilo wakati wa kipindi cha mvua. Itakusaidia kujua miundombinu kama inapitika au haipitiki. Kipindi cha ukame huwezi kujua na muda huo madalali hupata nafasi ya kuwachomekea wateja maeneo mabovu.
Kama tunavyojua, mwaka una majira tofauti, na hivyo iwe kiangazi, kipupwe, vuli au masika, watu huwa tunaendelea kuchapa kazi ili mkono ufike kinywani.
Sasa swali langu ni kama hivyo linavyosomeka hapo juu.
Ila mimi binafsi napenda sana ujenzi wa nyumba ufanyike wakati wa kipindi cha mvua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.