Kama tunavyojua, mwaka una majira tofauti, na hivyo iwe kiangazi, kipupwe, vuli au masika, watu huwa tunaendelea kuchapa kazi ili mkono ufike kinywani.
Sasa swali langu ni kama hivyo linavyosomeka hapo juu.
Ila mimi binafsi napenda sana ujenzi wa nyumba ufanyike wakati wa kipindi cha mvua...