kipindi cha pili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi) 2+ (katika mechi yote...
  2. M

    Viongozi wangu wa Simba kuna dogo mmoja fundi wa mpira Bravos aliingia kipindi cha pili mfupi na anaitwa Mathew, mali ile

    Yule dogo mfupi Ana tege hivi kama Feruzi Telu au Triple C, aisee dogo alitusumbua sana yule alipokuwa akishika mpira, kwanza Ana control, kana nguvu za miguu halafu kanajua kurusha pasi ndefu, yule dogo mtu sanaaaaaa. Ile mali viongozi wangu msiiache, mido yake ya chini ni ya kushambulia mnoo
  3. Mpoozo wa Simba kipindi cha pili Bado haujatafutiwa dawa

    Falsafa za Fadlu kipindi cha pili itasababisha siku Simba ifungwe magoli mengi Mohamed Hussein anatoa boko nyingi sana siku hizi.
  4. Ni kwamba huko Arusha hatutaki Kufunga Kipindi cha Kwanza ili Kuzuga kuwa Mechi ni Ngumu ili tukimalizana nao Kipindi cha Pili ubao usome 9-0 au?

    Kwa Timu yangu ninavyoijua (tena baada ya Kijili hivi majuzi Kuwasaidia) hadi sasa ningekuwa mbele kwa Goli 4 hivi.
  5. Mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia tarehe 03 Januari 3, 2024 (kipindi cha pili)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyopewa, alitoa maagizo kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kuandaa mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa. Lengo la maagizo hayo lilikuwa kutoa fursa kwa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa...
  6. R

    Magufuli aliwakosea nini Awamu ya 5 kipindi Cha pili?

    Salaam, Shalom!! Naomba tu kujua, Shujaa wetu, mchapakazi, mpenda watu, mthubutu, mzalendo Magufuli aliwakosea nini? Kutumia vizuri Kodi zetu kufanya makubwa kwa muda mfupi ni kosa? Kwanini Jina lake liondolewe katika Stendi kuu ya Mabasi Dar na wale wale mliokuwa karibu yake? Ikiwa ni Kuna...
  7. Nimeota Simba atapigwa 5 ila atafanikiwa kurudisha kipindi cha pili, Sijajua ni kati ya Horoya au Raja Casablanca

    Wakuu, Hii ndoto nimeota mtu kapigwa 5 then zikarudi kwenye secons half, Japo sijajua ni mpinzani yupi kati ya Horoya au Raja Casablanca. NB: Ni ndoto tu, No guarantee.
  8. NBC: Yanga SC 1-0 Ihefu FC: Uwanja Benjamin Mkapa

    Machampioni watetezi wa ligi kuu nchini Tanzania Young Africans S.C almaarufu Yanga leo wanashuka dimbani kukabilia na Ihefu katika mwendelezo wa ligi kuu ya Nbc... Mchezo huo utakuwa mgumu kwa timu zote kwani Yanga wanataka kushinda ili kulipa kisasi cha kuvunjiwa rekodi yao ya unbeaten na...
  9. Yanga inapoingia kipindi cha pili ni hatari mno!!!!!

    Miaka nenda miaka rudi Yanga ni timu hatari imapoingia kipindi cha pili.
  10. M

    "Yanga inakata upepo kipindi cha pili"

    Jamani ako kamsemo bado kapo uko mtaani kwenu,,,,,pasi 800 ushindi wa 100% πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
  11. Kwa Wanayanga tu: Yanga inakata punzi kipindi cha pili au ni mbinu zao za kiufundi?

    Inaonekana kama vile Yanga inacheza michezo tofauti kipindi cha kwanza na kipindi cha pili. Kipindi cha kwanza Yanga inacheza soka Safi na la kisasa na kushinda mabao dakika za mwanzo za mechi. Kipindi Cha pili Yanga inapunguza Kasi lakini wapinzani wanashindwa kuchomoa BAO waliliofungwa ingawa...
  12. M

    Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Yanga inakata upepo kipindi cha pili

    Naona kuna kawimbo kanaendelea kakusema yanga inakata upepo kipindi cha pili, mimi sikubaliani na icho kitu kwakuwa sijaona timu inayokata upepo ikiwa ikiwa inaruusu nafasi za wazi kwa wapinzani kunufaika nazo. Mara nyingi timu inayokata upepo aiwezi ikacheza mechi zaidi ya moja bila kuruusu...
  13. Q

    Uwezekano wa Magufuli kuongoza nchi kwa kipindi cha pili haupo

    Na Anderson Ndambo. Kuna mambo yanahitaji jicho la Tatu kuyaona na pengine kuyaamini. Tabia mojawapo ya siasa ni kubadilika badilika kulingana na majira na wakati kutokana na sababu za wakati husika, lakini kwa Tanzania mabadiliko haya yamekuwa na kasi kubwa mno, hicho si kitu cha kawaida, kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…