kipindi kigumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Naombeni ushauri ndugu zangu napitia kipindi kigumu mno.

    Habari za wakati huu, Waswahili husema penye wengi pana mengi. Naombeni mnisaidie katika hili ndugu zangu, Hapa nilipo sina kazi wala hata mtaji wa kufanya chochote sina, napambana lakini naona hali bado si nzuri, kinacho nipa mawazo ni kwamba nina mdogo wangu wa kidato cha nne bado hajaripoti...
  2. M

    Lissu kashinda ila tuiombee CHADEMA inaingia kwenye kipindi kigumu sana

    Kwanza niwape Hongera CHADEMA kwa kuendesha Uchaguzi wa Kiwango cha juu, na nimpongeze Lissu kwa Ushindi. Pili niombe Watanzania wote tuungane kuiombea CHADEMA kwa kipindi kigumu itakachopitia cha kuunganisha Chama chao,hekima ya hali ya juu sana inahitajika wakati huu. Ukiangalia Matokeo...
  3. Mkalukungone mwamba

    Nawanda: Nilipitia kipindi kigumu sana kipindi cha kesi. Lakini imani yangu kwa Mungu imenisaidia kuvuka changamoto hizo

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda, ameweka wazi kuwa kipindi alichopitia kimekuwa kigumu sana maishani mwake, lakini imani yake kwa Mungu imemsaidia kuvuka changamoto hizo. Akizungumza jana kwenye misa ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan na kumkumbuka baba mzazi wa...
  4. Black Butterfly

    Msigwa: Nilipokuwa CHADEMA nilikuwa Mjinga

    Mwanachama mpya CCM akitokea Upinzani, Mchungaji Peter Msigwa, amesema wakati alipokuwa CHADEMA hakuwa na ufahamu kwamba Mchakato wa Katiba Mpya ulikuwa unakwamishwa na baadhi ya Viongozi wa CHADEMA lakini amelijua hilo baada ya kujiunga na CCM. Alipoulziwa na Mtangazaji wa Kipindi cha Medani...
  5. K

    Katika nchi za East Africa hakuna nchi inayopitia kipindi kigumu kama Tanzania. Yanayoendelea Kenya ni tabia tu.....

    Ugweee..nimekosa salam ya haraka kuwasabahi ndg zangu. Hawa Z Generation nchini Kenya ni muenendo na miendelezo ya tabia ya wananchi waliosomeshwa na serikali zao za nyuma...hapa namzungumzia Moi na wengine waliofanya vema. Kinachoendelea nchini Kenya ni sahihi na haki kabisa. Hapa Tanzania...
  6. Aramun

    Nimeyatimba: Nimesex na mtu mwenye HIV, ni kipindi kigumu sana maishani mwangu

    Ni single mother mmoja ambaye tulikuwa tunawasiliana naye kwa muda kidogo. Tulishaingiza issues za kusex siku nyingi tuu sema kwenye kukutana ni kama kuna kakitu kanatuzuia. Siku kadhaa zilizopita siku ikatimia tukaonana na kufanya yetu ya kikubwa. Tulikuwa tumejiandaa kabisa kwamba tutacheki...
  7. Mjukuu wa kigogo

    Nchi inapitia kipindi kigumu kweli

    Hawa ndio wanasababisha sisi generation ya 2000's tudharaurike sana
  8. Pridah

    Kama yupo anayepitia kipindi kigumu naomba usome huu Ushuhuda wangu labda unaweza kupata faraja kidogo

    Assalam Aleykum ndugu zangu waislam na wakristo. Kwa asili mimi ni mtu niliye huru zaidi kutoa hisia zangu kwa maandishi kuliko niwapo ana kwa ana na watu. Leo niko na hisia za furaha sana na ndio maana nimepata msukumo wa kuandika. Lengo la kuandika sio kuwaambia nina furaha maana kuwa na...
  9. Mi bishoo tu

    Taifa linapitia kipindi kigumu. Huyu ndiyo kocha wa Biashara Mara

    Edina Lema ndie kocha msaidizi wa biashara united ya mkoani Mara. Hongereni wanajeshi wa mpakani. Nasema hongereni hasa viongozi wa juu!
  10. MIXOLOGIST

    Tuwaombee mashabiki wa Simba, kwa sasa wanapita katika kipindi kigumu sana

    Diagnosis iko hivi; Stress level iko juu Wana msongo mkubwa wa mawazo Hasira kali iliyo changanyika na njaa kali; and Kujinyonga ni most natural and probable consequence. Mungu awafanyie wepesi.
  11. MUTUYAMUNGU

    Kanisa la Tanzania linapitia kipindi kigumu sana. Mungu alinusuru

    Hizi ndio changamoto za kanisa la Tanzania. Tuzidi kumuomba Mungu. 1. Mikutano ya The Big Octoba na The Big Novemba iliyokuwa inahuhubiri kuacha dhambi na kumrudia Kristo imekufa. 2. Mwamposa na Suguye wanauza vifaa vya uponyaji mafuta, maji, keki na vitambaa badala ya kuhubiri watu waache...
  12. Suzy Elias

    RAIS WA EU: Ulaya itashuhudia kipindi kigumu sana hivi karibuni

    Rais wa Halmashauli ya umoja wa Ulaya Ursula Von der Leyen ametahadharisha juu ya kipindi kigumu kiuchumi, nishati na mgogoro mkubwa wa kibenki kitarajiwacho Ulaya na Ulimwenguni kwa ujumla baada ya Urusi kuitumia nishati yake ya gesi na mafuta kama silaha ya kulipiza kisasi kwa umoja huo...
  13. maroon7

    Siachi kutoa tip tangu nipitie kipindi kigumu

    Si kwamba sikuwa na utaratibu wa kutowa tip, ila nilikuwa sijali na nilikuwa sioni kama inasaidia. Baada ya mimi kuyumba miaka fulani na kulazimika kujiajiri kwenye biashara fulani ambayo ndio ilinisitiri japo kuna siku unatoka kapa. Ila kitu nilichojifunza kwa mtu kukupa buku au jero tu kama...
  14. M

    Kama una miaka 40+ na hauna maambukizi ya HIV/AIDS mshukuru Mungu marijali tumepitia kipindi kigumu sana

    Kwa nini miaka 40+? Kwa sababu kwa umri huo hata ukiupata ukipiga dawa unaweza kutoboa miaka 60 ambao ni life expectancy ya mtanzania. Tumepitia kipindi kigumu sana, nakumbuka nikiwa O level dispensary ya shule sindano zinachemshwa kama Mayai, hakukuwa na disposable syringe, nesi akipitiwa...
  15. MK254

    Putin ajisahau na kukiri kwamba Urusi inapitia kipindi kigumu kwenye teknolojia

    Sijui kwa bahati mbaya au amekiri kimaksudi, maana kila siku huwa anabwatuka mikwara jinsi atabonyeza manyuklia yake. ===== Vladimir Putin has admitted Russia is facing “colossal” technology problems due to the world’s biggest entertainment brands ceasing operations in the country. But the...
  16. Ngongo

    Jenerali Mabeyo: Tulimpoteza Rais Magufuli, tulisimama kidete kama Jeshi kulinda Katiba

    ==== Dar es Salaam. Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) anayemaliza muda wake Jenerali Venance Salvatory Mabeyo ametaja kifo cha Rais wa awamu ya tano John Magufuli, na matukio yaliyofuata baada ya tukio hilo, kama moja kati ya changamoto kubwa alizokabiliana nazo kwani Jeshi...
  17. I

    Watanzania tupo kwenye kipindi kigumu sana na kwa bahati mbaya kuna dalili za hali kuzidi kuwa mbaya

    Ishawahi kukukuta siku ambayo mpaka umefika mchana wa saa 9 hujaweka kitu tumboni, sio kwamba umefunga hapana bali huna hela ya kula? Ukaona kimbilio pekee ni kumtafuta mtu wako wa karibu akukopeshe angalau hela ya kula tu ili uondokane na zahma inayokukuta. Ukamtafuta wee kwenye simu bila...
  18. g vizy

    Hivi mkeo huwa anachukulia vipi unapokuwa katika kipindi kigumu cha kukosa fedha?

    Habari wakuu. Unapokuwa katika kipindi kigumu cha kukosa pesa mkeo nyumbani uwa anakutazama vipi huwa anaikubali hiyo hali mnaishi nayo au ndo mtu wa kuzila na kukusanya vilago kama huyu wa kwangu make naona subira yake ipo kwenye vingine sio pesa. Hebu tupe mtazamo kwa huyo wa kwako.
Back
Top Bottom