kipindupindu simiyu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    DOKEZO Serikali inasema Kipindupindu Simiyu ni ukosefu wa Vyoo lakini kuna sababu kubwa nyuma ya pazia

    Mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu katika Mkoa wa Simiyu, umeendelea kushika kasi, eneo la Wilaya ya Meatu ndilo limeathirika na linaendelea kuathirika zaidi. Jimbo la Kisesa katika Wilaya hiyo ndilo hatari zaidi kwa sasa, ukienda katika Kata za Mwandoya, Kisesa, Mbugayabanya, Sakasaka, pia...
  2. JanguKamaJangu

    Kihongosi: Baadhi ya Mila na Tamaduni zinachangia Kipindupindu Simiyu

    Akizungumzia taarifa za uwepo wa Kipindupindu Mkoani Simiyu, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenan Kihongosi amesema Viongozi wanatakiwa kushirikiana na Jamii katika kutoa elimu kwa Wananchi kuhusu suala la afya na matatizo mengine yanayogusa maisha ya watu. Amesema “Hatuna kesi ya Watu waliofariki kwa...
  3. K

    KERO Kipindupindu Simiyu kimeshamiri, kinaua ni hatari! Mbona Serikali haiweki wazi 'status' ipoje?

    Kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu, nimesikia na kuona ugonjwa wa kipindupindu kushamiri wakati au majira haya ya kiangazi. Hahahahahahahaha, kwanza inachekesha, lakini pia inahuzunisha, kwani watu wanakufa kweli kweli ingawa ni kimya kimya. Iko hivi sasa, sikilizeni. Mkoa wa Simiyu, ni...
Back
Top Bottom