Waziri wa Afya,Jenista Mhagama amezitaka jamii kuendelea kuchukua tahadhari ya magonjwa ya msimu ambayo yamekuwa yakiibuka kwa nyakati tofauti hususani ugonjwa wa kipindupindu ambao amedai umekuwa ukipelekea vifo.
Amesema kuwa ugonjwa wa Kipindupindu umekuwa ukiwachukuwa watu. Lakini ameeleza...
Ni takriban wiki sasa yale madimbwi yaliyotokana na mafuriko ya mvua za mwaka huu yamesababisha mlipuko wa kipindupindu. Sasa mbona kama inafanywa siri?
Lengo ni kutozua taharuki au nini? Watu hawachukui tahadhari wanaendelea kusafiri. Ni hatari sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.