Na EVANCIAN.
Kwa miaka mingi sasa, tumekuwa tukiendelea kushuhudia uporomokaji wa viwango vya Thamani ya Elimu yetu ya Tanzania katika nyanja zote za Uchumi, Siasa, Jamii na Utamaduni ndani na nje ya Nchi. Licha ya jambo hili kuwa hatari sana, Juhudi za kulitatua zimekuwa chache sana na...