Siku moja katika pitapita zangu nikakutana na rafiki zangu walevi wakakomaa twende kijiwe kimoja cha pombe. Kilikuwa ni kigrocery kidogo lakini kimechangamka hivi, japokuwa pombe nishaacha lakini nilivutiwa sana na hili eneo. Sio kwa uchangamfu bali ni baada ya kumuona muhudumu aliyekuja...