kisa

The Kisa, also known as Abakisa or Abashisa, are one of the sixteen tribes of the Luhya nation of Kenya. They occupy Kisa location in Khwisero division of Butere-Mumias district. The Kisa are sandwiched between the Marama of Butere, the Idakho of Kakamega and the Nyore of Vihiga district. The people of Kisa speak Olushisa. A few basic words in the Kisa Language include :

Kuka = Grandfather
Kukhu = Grandmother
Papa = Father
Mama = Mother

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Kauli ya vitu kupanda bei kisa vita ya Ukraine inapindishwa na walioielewa wanafunga mikanda kimyakimya

    Imenibidi kwa mara nyingine nijiridhishe kwa kurejelea kusikilizwa hotuba ya Mhe.Rais iliyokuwa inazungumzia kupanda bei kwa vitu kunakosababishwa na vita vya Ukraine na Russia na mapokeo ya kauli hiyo. Sio kwamba nimetumia muda kusikilizwa tena sikusikia vizuri ila nilifanya hivyo kuongeza...
  2. Hawanipendi kisa najua sana mambo ya Kimataifa

    Siandiki kishabiki napima na sikurupuki, PM zimeanza Kujaa kwa kifupi Urusi Nina Mke , Yaan mama yenu ni Mrusi Irina KOMOVA na mpaka jana ndo nimelazimika kumtoa huko ili hali inayoendelea ya ugumu wa maisha, Nimezitembea nchi Zote hizo na nimekaa uzuri nimekaa Urusi Saratov Miaka 3 na Rostov...
  3. Mtoto chini ya miaka 10 kumkatisha usingizi kisa masomo uchwara; Saa 11 Alfajiri?

    Kwema Wakuu! Shida zako zisikufanye uwe Mpumbavu kiasi hicho mpaka umtese mtoto wako WA kumzaa mwenyewe. Yeye anamakosa gani gani umtese hivyo. Yaani matatizo yako ya maisha unavyodhani yalisababishwa na wewe kutokusoma ndio unahamishia hasira na Mateso yote Kwa mtoto, huo ni upumbavu...
  4. Mkuu wa kituo Mabwepande huyo Mama uliyemuweka ndani kisa mchango wa ulinzi shirikishi Tsh. 15,000 kwa mwezi, ipo siku utalipa

    Umeshirikiana na kiongozi wa CCM mnamnyanyasa huyo Mama. Tena mtumishi wa Serikali kisa Tsh. 15000/= za ulinzi shirikishi. Yaani kweli kila mwezi mtu alipe Tsh.15,000/= tena kwa Walinzi ambao hata hajui Kama wanalinda. Najua mnataka kugeuza kesi. Lakini ipo siku utalipa nakuapia. UPDATE: Mama...
  5. Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

    Kwenye Maisha tunajifunza kutokana na makosa na makosa yanaleta majuto kabla ya funzo. Aidha ufanye kosa kwa siri au hadharani, ni lazima likugharimu kwa namna moja au nyingine na hivyo kupelekea majuto. Kuna vitu huwezi kuzungumza na watu wanaokufahamu vizuri, kuna vitu vinabaki mioyoni mwetu...
  6. J

    Iringa: Mabinti waliokimbia kwao kisa maisha magumu warejeshwa kwenye mstari

    Vijana waliokuwa wanaishi katika mazingira magumu ambao baadhi yao walikuwa na mzigo mkubwa wa kutunza familia zao na hata mabinti kukimbia vijiji kwenda kufanya kazi za ndani, hivi sasa maisha yao yamekuwa tofauti baada ya kufikishiwa elimu ya ujasiliamali na elimu ya Saikolojia. Elimu hiyo...
  7. Imekaaje Watanzania wengi kuwasilisha kuuza figo zao Muhimbili kisa umaskini?

    Mbona kama jamii watu wamefika huku, nini kimefeli, kwa nchi yenye madini ya kumwaga, ardhi kubwa yenye rotuba nzuri kote, vivutio bora Afrika vya kitalii na mazuri mengine mengi. Tatizo nini haswa?
  8. Msaada: Ndugu yangu (22) kaanza ubabe kwangu (31), kisa karefuka na anabeba vyuma

    copy paste fb 😂😂 JE NICHUKUE UAMUZI UPI KAMA MTU MZIMA. Ni mtoto wa ndugu yangu, mara ya mwisho kuonana nae ilikuwa kama miaka 7 iliyopita, kipindi hicho tulitokea kuwa na mazoea sana, kahamia mkoani kwangu huku kiukweli dogo kapanda hewani yupo kama futi 6 .3,,,mimi nipo 5.9 Sasa kahamia...
  9. Ajiua kwa kujitumbukiza kisimani baada ya kuua mke, mtoto kisa mgogoro wa michepuko

    Mwanaume aliyejulikana kwa jina la Madirisha Kanyalu (60) amejiua kwa kujitumbukiza kwenye kisima baada ya kumuua mtoto wake Meshack Madirisha (miezi 11) pamoja na mkewe aitwaye Evodia Nyerere (27) kwa kutumia kitu chenye makali akimtuhumu mkewe kuchepuka na wanaume wengine. Kwa mujibu wa Kaimu...
  10. Tabora: Maiko Jacobo amuua baba yake kwa shoka kisa imani za kishirikina

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linamshikilia Maiko Jacobo mwenye umri wa miaka 25 mkazi wa Kijiji cha Upungu, Wilaya ya Nzega mkoani hapo kwa tuhuma ya kutenda kosa la kumuua baba yake mzazi mzee Jacobo Lubela mwenye umri wa miaka 88 baada ya kumvizia majira ya jioni akiwa nje ya nyumba yake na...
  11. Waziri aonya watendaji RUWASA kuchafuana wakisaka madaraka, ataka watoe huduma bora kwa wananchi

    Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi amewaonya watendaji wa Mamlaka ya Maji Vijini (RUWASA) katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, akiwataka kuacha mara moja tabia ya kuchafuana kwa lengo la kusaka madaraka. Amewataka wafanye kazi kwa pamoja kuhakikisha miradi ya...
  12. Urusi: Facebook yazuiwa kisa taarifa tata katika vita yao na Ukraine

    Urusi imezuia matumizi ya mtandao wa Facebook unaomilikiwa na Kampuni ya Meta Platforms Inc's (FB.O) nchini kwao kile kilichoelezwa kupishana katika masharti ya vitu vya kuweka mitandaoni wakati huu wa vita yao na Ukraine. Maamuzi hayo yameongeza presha kubwa kwa vyombo vya ndani ya Urusi...
  13. Kisa hiki kingekutokea ungefanya nini?

    Kuna rafiki yangu alikuwa kwenye chumba cha Hotel moja hivi hapa mjini DSM, Alimwambia muhudumu wa ile hotel na kumuomba kuwa amletee dada poa na anayejiuza aje kulala naye hawezi kulala mwenyewe pale. Baada ya dakika 30 Muhudumu alikuja na Mwanamke ambaye bila kujua kumbe alikuwa ni Mke wa...
  14. Akataa kuolewa kisa mwanauwe hawezi kuandaa sherehe ila mahali yuko tayari kutoa

    Za mda huu wadau, Ni mama wa miaka 40 na ambaye pia ni mzee wa kanisa haya makanisa ya kilokole na alishawahi kuolewa na kudumu kwedumu kwenye ndoa kwa miaka 7 ila hakubahatika kupata mtoto mwanaume akamkimbia . Sasa kapata kijana mdogo tu wakaelewana, kijana akasema yeye yuko tayari kutoa...
  15. Bibi yangu alipoenda Hospitali ya Amana Dar, alilazimishwa kuchanjwa

    Wadau naomba kujua Kama Hospitali za serikali kwenye maeneo yenu zina huu Utaratibu. Bibi yangu Alikuwa hajisikii vzr, wajukuu zake wawili wakampeleka AMANI HOSPITALI. Walimuuliza Bibi ushachanjwa? Akawaambia Bado, wakamwambia hadi achanjwe ndo wamtibu. Ilibidi achanjwe hapohapo. Kumbe hii...
  16. Baada ya Mwigulu kudai VAR kisa bao la Chama, hii ni kauli ya Ofisa Habari wa Simba

    Mara baada ya Simba kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbeya Kwanza, bao ambao lilizua utata kutokana na baadhi kuamini kabla ya tukio hilo kulitokea Meddie Kagere kuwa offside kisha Clatous Chama kufunga, kuna maoni mengi yalitolewa. Sehemu ya maoni hayo yalitolewa pia na Waziri wa Fedha...
  17. K

    Wife kaninunia kisa hiki

    Habari wakuu Wiki iliyopita wife alipata dharura kidogo akaenda kwao kwa ajili ya issue za kifamilia. Sasa huku nyuma aliniacha mimi nikiwa na nywele sehemu za siri nyingi balaa. Nikaona isiwe tabu alivyoondoka nikajifanyia usafi nikajinyoa mwenyewe (ikumbukwe wife huwa anapenda kuninyoa...
  18. CHADEMA tuna wakati mgumu Tarime, Mwita Waitara ameahidi kutushughulikia tena tusipate hata Diwani kisa tumefurahi alivyotenguliwa

    Sikilizeni makamanda wenzangu, amesema anafuatilia tunavyomnanga sasa tutakoma huko Tarime.
  19. B

    Nimeshtusha kusikia Mawaziri na Manaibu Waziri wanalogana na kuchukiana kisa safari za Mikoani kuja kutafuta namna yakuwatumbua wasio na hatia

    Kama nchi Hadi kufikia mwaka huu 2022 Waziri anaweza kumzui Naibu Waziri kufanya kazi au Katibu Mkuu kuficha Fedha Waziri asilipwe na ikawa agenda basi tuna safari ndefu. Waziri unapitisha Fedha Bungeni bila kuwa na mamlaka na Fedha? Naibu Waziri unapijibu majibu Bungeni kumbe hata haki na...
  20. U

    Blockchain; Mfumo uliokuja kuvuruga mifumo ya kibenki na ndio kisa hupigwa vita (decentalized system)

    HELLO GUYS! Baada ya kusubiri muda mrefu kidogo tukisubiri tuweze kuongezeka napenda kuwakumbusha kuwa hapa ni sehemu salama zaidi na mafunzo yote yatatolewa bure bila malipo yoyote na tutajitahidi kila siku kuleta angalau somo moja ili kufikia malengo ya kila mmoja kuweza kuelewa nini maana ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…