Sina Lengo la kukatisha tamaa ila Namba hazidanganyi
WAOMBAJI - 135,027
Kwa makadirio kuna wazanzibari 3000, waliobaki wabara 132,027
NAFASI - 1,596
20 % kwa Wazanzibar - 319
80 % kwa Bara - 1,277
CHANCE YA KUPATA KAZI
Wazanzibari - 10 kwa kila waombaji 100 ( 319/3000)
Wabara - 1 kwa...
1. Kwa siasa zetu zilivyo hawa CRDB ni vizuri wakaanza mchakato wa kupata boss mpya ifikapo Oktoba 2025.
2. Ukifuatilia matukio makubwa ya kitaifa hivi Karibuni utapata jibu kuwa kituo kifuatacho kuna ingizo jipya pale HAZINA/Moyo wa nchi ulipo.
3. Wizara ya Fedha inataka mweledi na mwenye...
Tukishinda huu Mchezo jueni kwa 100% kwa Msimu huu Simba SC tunaenda kuwa Mabingwa kwani Mchezo dhidi ya Yanga SC tarehe 8 Mwezi ujao tuna 75% za Ushindi na 25% za kutoka nao Sare.
Hivyo basi kwa wale Wanaosali nawaomba Wasali sana leo na wale Wanaoroga pia Waroge mno leo Simba SC yetu iweze...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Stephano Maswala, miaka 35 mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi (jina linahifadhiwa) kwa kosa la kubaka watoto watano kwa nyakati tofauti kuanzia mwezi Oktoba 2024 mpaka Januari 2025 waishio kituoni hapo.
Muhumiwa huyo alikuwa...
KISAIKOLOJIA; WATU WANAOONYESHA KUJALI MBELE ZA WATU NDIO WAKATILI NA WALE WENYE KUTOONYESHA KUJALI MBELE ZA WATU NDIO WENYE HURUMA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mara nyingi lakini sio zote. Watu wengi utakaowaona wanaonyesha kujali au kuonyesha huruma mbele za watu ndio makatili...
Siasa ni mchezo mchafu. Vita vya kiti cha Uenyekiti chadema kati ya chawa wa pande mbili ni vita vilivyotengezwa na Tiss. Wakiwatumia vijana wao kuna yeriko. Ni vita vya kupigania pesa za rushwa kutoka kwa chama mtaala. Wakati mbowe akiwatumia vijana wake akina wenje, yericko kupoza nguvu ya...
Kama Mtanzania na niseyependa mtu apogee au apoteze wengine naomba hili lifanyike.
Makonda amesikika kama kawaida yake kuropoka maneno yenye utata kuwa Rais Samia anaongoza hapa nchini kwa kurogwa sana na pia karudia tabia ile ya kulialia hovyo hadharani kwa kivuli cha kufanya maombi na...
Safari ya Kujirudi na Hali ya Yanga
Kuna kipindi nilijikuta nikitegemea sana pombe—whisky, gin, na bia. Ilifika hatua hata uwezo wangu wa kawaida wa kupiga shoo ulishuka sana. Nilikuwa siwezi kufanya chochote bila kunywa konyagi kwanza, na hapo ndipo ningechangamka na kucheza vizuri.
Ili kuwa...
Nilikuwa naongea na watoto (wanafunzi) kama 100 hivi. Basi katikati ya maongezi ikanijia chafya, nikaziba mdomo tu nilijua kuwa sina tatizo lolote na ni chafya ya kawaida tu kama zile zingine. Ajabu ni kuwa nilipopiga tu ile chafya lilitokea pande kubwa puani la kamasi mbichi na nzito sana...
Habari wana jukwaa. Kwa kweli hivi sasa bila connection ni ngumu kupata kazi, vinginevyo Mungu aingilie kati. Binafsi kwa neema ya M/Mungu nimefanikiwa kuwa nahistoria ya kufanya vizuri darasani, na kuwa mwanafunzi bora kuanzia nilipokuwa shule ya msingi mpaka chuo kikuu. Historia yangu kwa...
Sio ajabu kuona watu kama kina Samantha Power, Michele Sumilas, Clinton D. White pamoja na Kimberly Ball wakiumia na kugugumia maumivu juu ya ushindi wa Donald Trump. Kwa Wamarekani ni wazi kuwa kulikuwa na matarajio ya kuchaguliwa tena kwa Trump, Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani...
Mosi,Kukaa kimya kuna nguvu zaidi kuliko pale unapotaka kudhibitisha ukweli au kujitetea. Na hii kweli kabisa wakati mwengine unaweza kupata kashfa ambayo jinsi kadri unavyotaka kujitetea unajikuta unazidi kuharibu,kwahiyo wakati mwingine kunyamaza ni jibu zuri sana,watu wanabaki njia panda...
Mimi kama kijana mwenye ndoto zangu binafsi, mwenye maisha ya hali ya kawaida, mwenye mambo kibao ya msingi ambayo nahitaji kuya-achieve nilikaa chini na kufikiria ni mazingira gani natakiwa kujitengenezea ili niwe katika Ari nzuri ya kujipambania.
Katika kufanya research yangu ndogo nikaona...
👉Mara nyingi, "sheria" ambazo hazija andikwa (Un-Written Laws), ndio huwa zinakuwa zinafanya kazi katika uhalisia kuliko sheria ambazo zimeandikwa.
👉Mimi huziita sheria za asili ama kanuni za asili.
👉Kwa mfano moja kati ya kanuni ya asili yenye uhalisia kwa Asilimia zote, ni kanuni inayo...
Wakuu naombeni mnipe mawazo ya kiushauri niweze kumshauri huyu ndugu yangu, Nahisi hayupo sawa kisaikolojia.
Ni mtoto wa mjomba wangu alimaliza diploma ya clinical officer mwaka 2020 akiwa na G.P.A ya 3.1, Kwa wakati wote tokea amalize hakuwahi bahatika kupata ajira ya kudumu zaidi ya kazi za...
Kijana anayesemekana aliingizwa chupa sehemu za haja kubwa na Mheshimiwa Naibu Waziri (Mstaafu) na Mbunge wa Babati Mjini anastahili huduma za kisaikolojia vinginevyo tutampoteza Kwa kadhia Ile.
Friends, ladies and gentlemen..
Uelekeo wa kisiasa na mienendo ya siasa za mh.Lugaga Mpina mbunge wa jimbo la kisesa, inatiashaka na imebeba ujumbe mzito sana wa kisiasa nyuma ya pazia hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu 2025...
Kwanza anatumia nguvu nyingi na kubwa mno kujieleza kwa...
aina
chama
chama kipya
jimbo
jimbo la kisesa
kipya
kisaikolojia
kuhama
kuhamia
mavazi
mpina
rangi
siasa
upinzani
vipeperushi
vyama
vyama vya upinzani
wananchi
USALAMA WA KISAIKOLOJIA (Chanza cha maisha bora)
Usalama wa kisaikolojia ni hali ambayo watu wanajisikia huru kutoa mawazo, kushiriki katika mazungumzo, na kuchukua hatari bila hofu ya adhabu au madhara ya kijamii. Hii ina umuhimu mkubwa katika maendeleo endelevu, yanayohusisha kukidhi mahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.