kisarawe

Kisarawe is one of the six districts of the Pwani Region of Tanzania. It is bordered to the East by Dar es Salaam Region, to the north by the Kibaha District, to the east by the Mkuranga District, to the south by the Rufiji District and to the west by the Morogoro Region.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the Kisarawe District was 95,614.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia ikukupendeza tuondolee DC Magoti hapa Kisarawe, amefeli kila kitu

    Watu hatuna maji yeye analeta story za uchaguzi. Tuliambiwa kuwa hapo ikulu alikufelisha na wewe ukaamua kuturushia huku Kisarawe huku ni majanga kabisa . Hapa Kisarawe wilaya nzima hatuna maji yeye yuko size na ishu za uchaguzi utadhani anagombea Barabara mbovu kila sehemu yeye yupi size na...
  2. R

    Plot for sale in Kigamboni Kisarawe II

    Plot available for sale. Location: Kigamboni Kisarawe 2, Mwasonga road. Descriptions: *12km from main road(Kibada road). *It's near to Box Factory(Kiwanda cha maboksi) and Dar es Salaam Zoo. *It's 9.6 acres which is equal to 39,507.11SQM. *Suitable for Industrial, Commercial or Residential...
  3. R

    Plot for sale in Kigamboni Kisarawe II

    Plot available for sale. Location: Kigamboni Kisarawe 2, Mwasonga road. Descriptions: *12km from main road(Kibada road). *It's near to Box Factory(Kiwanda cha maboksi) and Dar es Salaam Zoo. *It's 9.6 acres which is equal to 39,507.11SQM. *Suitable for Industrial, Commercial or Residential...
  4. M

    KERO Dar: Barabara Kisarawe II Wilaya ya Kigamboni haijafanyiwa matengenezo tangu mvua za Mwaka 2024

    Ni toka mvua za mwaka jana 2024 mpaka leo barabara za Kichangani kuanzia Shule, Kisimani hadi Msikiti wa Mzee Nandule, kote huko njia hazipo ni kama vile Serikali imesahau kuwa kuna watu wanaishi huko. Mbali ya kuwa Wananchi wamejichanga na kutafuta vifusi ila mkandarasi wa Barabara ya Kibada -...
  5. R

    Plot for sale in Kigamboni Kisarawe II

    For further details or to arrange a viewing, kindly contact us. 0784 829565 0767 833345 @prathlimited
  6. Pre GE2025 DC Magoti wa Kisarawe: Avaa vazi la Samia style kama sehemu ya kumpongeza kwa kazi nzuri anayoifanya

    Uchawa unanguvu sana! Na bila shaka hii yote kwenye kutetea ugali wao. Sasa Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Petro Magoti ameamua kuvaa vazi la Samia style kama sehemu ya kumpongeza Rais Samia kwa kazi nzuri anayoifanya katika kuendelea kuwaletea wananchi maendeleo.
  7. R

    Plot available for sale in Kigamboni Kisarawe II

    Plot available for sale. Location: Kigamboni Kisarawe 2, Mwasonga road. Descriptions: *12km from main road(Kibada road). *It's near to Box Factory(Kiwanda cha maboksi) and Dar es Salaam Zoo. *It's 9.6 acres which is equal to 39,507.11SQM. *Suitable for Industrial, Commercial or Residential...
  8. Ajifanya Mkuu wa Wilaya na kutapeli viwanja Homboza, Kisarawe

    Mtu mmoja (jina limehifadhiwa) anadaiwa kufoji nyaraka na kujifanya mwakilishi wa mmoja wa Wakuu wa Wilaya waliowahi kuongoza Wilaya ya Kisarawe, akidai kuuza viwanja kwa niaba ya mkuu huyo wa wilaya aliyepita. Tuhuma hizi zilibainishwa na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti, wakati...
  9. X

    Shamba Ekari 1 na robo linauzwa Marumbo Kisarawe 1.2m

    Eneo linafaa kwa Ufugaji,mto unapita jirani,kilimo cha kumwagilia. Lakini pia kilimo cha mihogo,machungwa na Maembe. Nicheki 0782971984
  10. Pre GE2025 DC Magoti akabidhi kipaza sauti kitangaze mikutano yake

    Wakuu, Vitu vingine mpaka vinachekesha, ni zaidi ya vituko!:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh: ===== Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa...
  11. Halima Mdee: Kisarawe imeshindwa kukusanya Tsh. Bilioni 6 ya Ushuru kutoka Yapi Merkez

    Mbunge Halima Mdee akizungumza wakati wa mjadala wa Taarifa za Kamati ya PAC na LAAC kuhusu Ripoti ya CAG katika Mkutano wa 17 wa Bunge la 12 ulioanza leo Oktoba 29, 2024 na kutarajiwa kuendelea hadi Novemba 8, 2024, amesema mapato Tsh. Bilioni 61.15 hayakukusanywa katika vyanzo muhimu Amesema...
  12. DC Kisarawe: Mwekezaji anayepasua mawe kwa baruti kusaka madini King’azi A tumemzuia

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti ametoa maelekezo ya kusimamishwa kwa mchakato wa utafutaji madini kwa kulipua mawe kwa baruti eneo la King’azi A kusimamishwa kwa kuwa hana vibali na hivyo anahatarisha usalama wa mali na Watu. Kusoma hoja ya Mdau, bofya hapa ~ Jamaa anapasua mawe kwa...
  13. Kisarawe: Mwamposa, Jaffo, LT.COL Kombo, waungana na DC Petro Magoti Siku ya Wazee Duniani

    SIKU YA WAZEE DUNIANI 1 OCTOBER 2024 Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti jana aliandaa Chakula cha Mchana na wazee zaidi ya 300 ktk Ikulu ndogo ya Kisarawe kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na katika Hafla hiyo Mgeni Rasmi alikuwa Dkt. Suleiman...
  14. Jamaa anapasua mawe kwa baruti King'azi A (Kisarawe), maisha ya Watoto na nyumba yapo hatarini

    Nimeona komenti hii kwenye ukurasa wa JF, hili lipoje Wadau wa Kisarawe? Majibu ya DC, soma ~ DC Kisarawe: Mwekezaji anayepasua mawe kwa baruti kusaka madini King’azi A tumemzuia
  15. Wanachimba Michanga wanahatarisha Maisha yetu Kisarawe Two (Kigamboni), hawataki kusitisha mchakato huo

    Uchimbaji huo wa mchanga umekuwa ukifanyika kwa zaidi ya miaka minne sasa, tumeripoti kwenye Mamlaka mbalimbali lakini bado wahusika wamekuwa wakiendelea na hivyo kuweka nyumba zetu kwenye hatari ya kubomoka hasa kipindi cha mvua. Uchumbaji wa michanga maeneo ya Mwaninga, Chekeni, Kisarawe II...
  16. Pre GE2025 Kisarawe kumekucha, DC. Magoti atangaza yeye sio DC wa "mpeche mpeche", watakaoleta mchezo atawang'oa visogo

    Ni kama vile DC Magoti anaona kama wananchi wanadhani yeye sio DC, lakini kawadhihirishia kwamba yeye sio DC wa Mpeche Mpeche, ni DC wa kimataifa, na kwamba wasidhani kwa umbile yeye ni mtoto, bali ni mtu mzima, na Rais kamteua. N.B: nadhani anaweza kufanya tukio kubwa, pengine baya, ili...
  17. I

    Wakili Chuwa: Wananchi Tondoroni (Kisarawe) wamebomolewa nyumba bila kuzingatia taratibu na wanapokea vipigo

    Nyumba zaidi ya 500 zinadaiwa kubomolewa kwenye Kijiji cha Tondoroni Kata ya Kiluvya Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani na maafisa wa Jeshi la Wananchi kufuatia uwepo wa mgogoro wa aridhi baina ya Jeshi hilo na wanakijiji. Baadhi ya wananchi wanaeleza kwamba zoezi la ubomoaji ambalo lilianza juni...
  18. Kama Petro Magoti Mkuu wa Wilaya Kisarawe, Jaffo asigombee, Ubunge achukue Kingwendu....wana Kisarawe watakuwa wanapasuka mbavu kila siku

    Kama hii line up ikitiki, nadhani Kisarawe itatosha kutengeneza content wanazopenda watanzania, ila mpaka karata za kisiasa ziende sawa, wote tuseme ameen. Sasa ole wenu watumishi msiojua kubana cheko zenu vikaoni
  19. Pre GE2025 DC wa Kisarawe, Petro Magoti achangia Mifuko 300 ya Saruji Ujenzi wa bweli la Msikiti, ahimiza na wengine wachangie ili Watoto Warudi mapema kusoma

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti ametoa mifuko ya saruji 300 akianza kutanguliza mifuko 150 kwa ajili ya ujenzi wa bweni (hosteli) litakalotumika kwa ajili ya Watoto wanaopata mafunzo ya Dini ya Kiislamu Wilayani hapo ikiwa ni siku mbili tangu alipotoa maelekezo ya kusitishwa kulaza...
  20. Petro Magoti kupiga marufuku pikipiki kubeba mkaa, nimewaza Mtanzania wa hali ya chini na namna sahihi ya kuwa na hekima juu ya sera ya mazingira

    Salaam ndugu zangu: Leo asubuhi nimepita kwa bwana Millard Ayo, nikakutana na hii clip ya bwana Petro Magoti (mkuu wa wilaya ya Kisarawe) akieleza juu ya sheria pamoja na utejelezaji wake katika wilaya ya Kisarawe. Nimewaza sana na roho imezidi kuniuma sana juu ya hekima ya hawa viongozi wetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…