Katika Mchezo wa Final ya Euro 2000 Italy walipoteza Mchezo baada ya Ufaransa kusawazisha goli Maji ya Jioni na kisha kuja kufunga goli la kifo katika zile dakika 30 za Extra Time.
Hii ilituumiza sana wataliano kiasi kwamba kiungo wetu Mswaki wa jini Demetrio Albertini alilia saana kwa uchungu...