kisheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kumsaidia Kisheria mtu anayekaribia kubambikiwa Kesi?

    Habari za usiku ndugu zanguni? Naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Naomba mnisaidie wataalamu wa sheria, hivi ni Mbinu gani Unaweza kuitumia ili kumnusuru ndugu yako ikiwa umebaini kuwa kuna dalili za OC-CID kutaka kumbambikizia kesi? Yaani amekamata mtuhumiwa kwa kosa la kununua mali ya...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuiendesha biashara yako kisheria na kuiongezea thamani

    Je, kwa muda mrefu unasumbuka namna bora ya kuiendesha biashara yako kisheria na kuiongezea thamani biashara yako? Kama ndio basi nina jambo jema kwaajili yako. Biashara yoyote ili itambulike kisheria lazima iwe na vibali vyote vitakavyo muwezesha kufanya biashara yake. 1. TIN ya biashara 2...
  3. JamiiForums Tanzania Hawa Wabunge wasio na chama wapo Bungeni kwa sheria ipi? Nani anawalipa?

    WABUNGE WALIOJIPELEKA BUNGENI NANI ANAWALIPA? Na Elius Ndabila 0768239284 Jana baada ya Mchango wa Mhe Halima Mdee Bungeni ambao binafsi niliupenda sana kutokana na umahili wake wa kujenga hoja, baadae alisimama Mhe Kunambi na Mhe Jerry Silaa ambao ni Wabunge wa CCM kujaribu kupinga hoja zake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…