kishindo

Paul Kishindo (1952 – December 1, 2020) was a Malawian sociologist, professor of Rural Sociology and former Dean of Social Science at University of Malawi Chancellor College Dr. Kishindo is well known in Malawi and internationally for his work on rural sociology in Malawi.

View More On Wikipedia.org
  1. Pre GE2025 Ushindi wa Boniphace Mwabukusi unatupa matumaini huenda 2025 CCM ikaondoka kwa kishindo

    Tukipoteza woga wetu wanapoteza nguvu zao, Ushindi wa wakili Mwabukusi umeshangiliwa na watu wengi, hii ni ishara kuwa Wanaoisapot CCM ni wale wanaonufaika nayo tu ambao kimsingi ni wachache. Hivyo tukiungana mwaka 2025 , watanzania wote tukaiadhibu CCM kwenye boksi la kura, hawataamini...
  2. U

    Simba inatisha yawapiga waarabu wa misri goli 3

    Wadau hamjamboni nyote? Simba inatisha 🚨 𝗙𝗨𝗟𝗟-𝗧𝗜𝗠𝗘 Mechi ya kirafiki ya dakika (120) ilihokuwa na vipindi (3) imekamilika huko Misri 🇪🇬 Full — Simba 3 - 0 El Qanah ⚽⚽ Jean Charles Ohoua. ⚽ Okejepha. ℹ️ Mchezo huo umechezwa katika vipindi vitatu vya dakika (40") dhidi ya timu hiyo ya...
  3. Siasa za Beirut zinalipa Kama rival akisajiliwa je, ni sahihi kumpa Wizara ilokuwa ya Mpinzani wa Dr Mwezi huu? Au tungevuta vuta muda?

    Hapo beirut kimewaka! Mmoja akaambiwa kwa kuwa umehusika na jambo fulan basi kaa pembeni sana tupange upya ka karatasi ka kulinda Beirut yetu wakati wa kuangaliana Tel aViv wakagundua mpalestina ambaye kaangukia mikono ya wayahudi, wakasema kwanza tutakupa nafasi ukasimamie kule ambako alitokea...
  4. G

    Pre GE2025 Ni ngumu kwa mtu ambitious kuridhika na Ukuu wa Mkoa, 2025 Makonda anaingia bungeni kwa kutumia jimbo gani?

    Makonda ni very ambitious, ni ngumu sana kutosheka na cheo cha RC, ili kuwa na vyeo venye power kubwa zaidi kama Uwaziri njia ya uhakika ni kuwa mbunge. 2020 alikurupuka ila round hii itakuwa kajipanga vilivyo swali, je atatumia jimbo gani?
  5. Pre GE2025 Nyamongo: CHADEMA yahitimisha Oparesheni yake kwa Kishindo

    Kama tulivyosema awali ni kwamba, leo ilikuwa siku ya kumaliza matanga Nyamongo, Baada ya Shughulili ya "Kuizika ccm" Tarime. Ushahidi huu hapa Mtu akithubutu kuwapora ushindi watu hawa anatafuta Matatizo.
  6. B

    Watanzania wapendekeza Gari la Tundu Lissu lipelekwe Makumbusho ya Taifa, Mwenyewe amshukuru Mungu kuwa hai hadi leo

    Akiongea na wananchi Mkoani Singida nyumbani hapo jana jioni Tundu Lissu ametoa wito kwa Watanzania wengi kuungana na wenzao waliopendekeza Gari lipelekwe Makumbusho ya Taifa. Akiwa anafafanua na kuonyesha namna gari lilivyoharibika kwa Risasi kwenye Mlango mkabara na kiti cha mbele alipokuwa...
  7. J

    Bajeti ya kuleta mageuzi sekta ya elimu yapita kwa kishindo

    BAJETI YA KULETA MAGEUZI SEKTA YA ELIMU YAPITA KWA KISHINDO Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania laidhinisha zaidi ya shilingi Trilioni 1.97 zilizoombwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa ajili ya kutekeleza vipaumbele vitano vya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 ili...
  8. D

    Mambo atakayoyafanya Tundu Lissu baada ya kushinda uchaguzi wa 2025 kwa kishindo

    Iko wazi na sio siri mwakan Tundu lissu ndo Rais ajaye; baada ya kuwa Rais atafanya yafuatayo Rais hatachagua mkuu wa tume na wajumbe wake- tume itakua huru kwa asilimia 100 Majimbo ya uchaguzi yataamuliwa kwa wingi wa watu na kila baada ya miaka 10 yatachorwa upya sehemu yenye watu wengi...
  9. Yanga akiingia nusu fainali, Simba ataingia naye kwa kishindo

    Huu si utabiri wala nasibu. Kwa Sasa Simba ashapoteza "defence merchanisms" zote alizokuwa anajikingia dhidi ya mashambulizi ya Yanga Kichaka cha "sisi wa kimataifa"....fyekelewa mbali Kichaka cha huku kwa wanaume...fyekelewa mbali Kichaka cha robo fainali...fyekelewa mbali Hivyo vimebakiwa...
  10. M

    Mamelodi hana maajabu lazima atolewe, Yanga anaenda nusu fainali kwa kishindo ijumaa ijayo

    kila msimu mamelodi huwa anatolewaga kwenye hizi hatua za mtoano. hizi ndio records zake mfululizo zamu ya yanga kumtoa imeshafika
  11. Mashabiki wa Kaizer Chiefs: Tutawaunga mkono Yanga washinde ushindi wa kishindo Tanzania na hapa nyumbani

    Mashabiki wa timu ya Kaizer Chiefs imetangaza kuisapoti timu ya Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns katika mechi zote mbili Mashabiki hao wamesema wanataka kuona soka safi la Yanga linalovutia likiwafundisha adabu Masandawana Wametangaza kuwa wapo tayari kutoa msaada wa Hali na Mali,wa kamati za...
  12. Simba yawaonesha Yanga namna ya kufuzu robo fainali

    Kumtwanga mpinzani goli 6 sifuri hatua ya kufuzu robo fainali sio kazi rahisi hata kidogo, sio madako kwamba kila mtu anayo. Jana nilisema simba linapokuja suala la kufuzu robo fainali klabu bingwa Afrika ni sawa na mmasai kubeba sime na rungu, imekuwa ni kawaida kabisa. Kama sio simba iliyo...
  13. B

    Kishindo kikubwa kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa askofu jovitus mwijage wa jimbo la Bukoba

    Askofu mwijage (katikati) mwenye fimbo akiwa na baadhi ya maaskofu waliohudhuria ibada hiyo Askofu Mwijage akikabidhiwa fimbo na Kardinali Rugambwa wa Jimbo Kuu la Tabora katika ibada hiyo. Msemo wa kihaya usemeo “Tikiliwa Igamba”ambalo tafsiri yake ni “tukio ambalo litabaki simulizi”...
  14. Pre GE2025 Chadema "ikimaliza" mambo ya Mdee na wenzake ikawapa nafasi wagombee, naliona jimbo la Kawe na Bunda yakirudi Chadema kwa kishindo kitakatifu

    Ni dhahiri kwamba miamba hawa wa kisiasa bado wana nguvu kubwa sana ambayo ni vigumu kuimaliza kwa siasa uchwara. Chadema wakiamua kutumia busara na kufanya siasa badala ta kukomoana, naliona jimbo la Bunda na Kawe yakitikisa uchaguzi wa 2025. Endapo Chadema itawasimamisha, hakika italeta...
  15. Kishindo Knachoendelea Huko kwa Jirani Huenda ni Viagra

    Mwanzo nilidhani wanafumua sementi ili asubuhi waweke tiles au wanavunja ukuta, baadaye hali ikawa mara mbili ya ile ya awali, kama kweli watu wanatumia hayo madawa basi anayejiumiza ni mwanaume siyo aliyepaniwa, ndiyo maana tunakufa mapema kuliko wao
  16. C

    Gari yangu Gx110 inakita kishindo wakati wa kutoka parking P kwenda kwenye D na R

    Habari wataalamu, Nina tatizo lina nisumbua kwenye gari yangu grande mark2 (gx110) na linaninyima raha kwakweli, wakati wa kutoka P kwenda D na R nasikia mkito unasikika sehemu ya nyuma, nilipeleka kwa fundi akabadili bushing zote za nyuma na CV joint (cross joint) pembeni ya diff lakini...
  17. Washington: John Mnyika aanza ziara kwa kishindo, atembelea VOICE OF WASHINGTON DC. Ailipua sheria ya Uchaguzi

    Katibu Mkuu wa Chadema , John Mnyika , aliye kwenye ziara ya kikazi Nchini Marekani, ameanza kutembelea vyombo vya habari vya Nchi hiyo na kuanika uozo unaoendelea nchini Tanzania. Akihojiwa na Kituo cha TV cha Washington DC, amefichua kwamba Mchakato wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi...
  18. Tafadhali nishauri nipande mbegu aina gani yenye matokeo chanya?

    Wapendwa ndugu zangu, majirani, marafiki na familia ya wakulima wa mazao mbalimbali maeneo tofauti nchini,. Habari za kazi, majukumu na maandalizi ya msimu wetu pendwa wa kilimo? Nimewiwa kuwasabahi na kuwatakia Neema na Baraka za Mwenyezi Mungu katika maandalizi kabambe ya kuingia rasmi tena...
  19. Kishindo kikubwa Houston Marekani

    Baadhi ya wakazi wa Houston alfajiri ya leo 9/11.2023 wametaharuki kwa kuamshwa na kishindo kikubwa kilichofatiwa na moshi mkubwa kilichotokea kwenye kiwanda kimoja cha makemikali. Kishindo na moshi kilisikika na kuonekana karibia Houston yote. Haijajulikana kishindo hicho kimeababbishwa na...
  20. Kagera: Nyota ya Paul Makonda imewaka tena, apokelewa kwa kishindo Bukoba

    Mbegu bora ikipanda lazima iote. Na Mbegu ili iote, inakufa kwanza kisha inachipua na kukua na Kuzaa matunda. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi Paul Makonda ni Mbegu ambayo imeota, sasa CCM wanajiandaa kula Matunda yake 2025. Kwa ziara yake Bukoba, ni dhahiri Makonda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…