Hii ni Taarifa tunayoipeleka kwa Umma wa Watanzania na nchi Jirani, kwamba yule Mwenyekiti mpya wa DUA, ambaye pia ni mwamba wa siasa za kisasa na nguzo ya amani Nchini Tanzania, Freeman Mbowe, Tayari amekwishaanza Majukumu yake mapya.
Freeman Mbowe, anayejulikana pia kama Mtemi Isike...