Yupo wapi mwamba wa Lusaka? Nani amemshuhudia akishiriki yahusuyo Klabu yake tokea arejee juzi?
Inasemekana, hata kwenye zoezi la kupimwa afya, hakuwepo! Vilevile, inadaiwa kaigomea safari ya Turkey.
Duru ndani ya Klabu yake zinatabanaisha, jamaa kapata offer ya haja kutoka kwa swahiba wake...