MSURURU wa visa vya mauaji ya kutisha na vituko vingine vya ajabu vinavyoendelea kuripotiwa katika eneo la Gusii, umeibua hofu tele miongoni mwa wakazi na Wakenya kwa ujumla.
Viongozi wa kidini na wazee wa Baraza Kuu la Jamii ya Abagusii wanaungama kuwa, iwapo hatua za haraka hazitachukuliwa...