kisima

Kisima is a small village in Samburu County in northwestern Kenya, southeast of the town of Maralal. It lies next to Lake Kisima in the eastern part of the Loroghi Plateau. The village is most notable as the location of Kisima Airport, which serves both Kisima and Maralal.
The President of Kenya launched work on the paved Naibor - Kisima - Maralal road in July 2017.

View More On Wikipedia.org
  1. Kichanga chatupwa kwenye kisima cha maji, Jeshi la Zimamoto lasaidia mwili kupatikana

    Mwili wa kichanga umeopolewa na Kikosi cha Jeshi la Zimamoto Mkoa wa Geita kwa kushirikiana na wananchi baada ya kutupwa ndani ya kisima cha maji Mtaa wa Mkolani. Afisa wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji Mkoa wa Geita Emmanuel Lutta amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
  2. Zoezi la kumuokoa mtoto Rayan wa Morocco aliyezama ndani ya kisima cha mita 30 limeingia siku ya 3, tumaini bado

    Ni mtoto wa miaka mitano (5); baada ya baba yake kumtafuta kwa masaa kadhaa ndio akagundua kwamba kadumbukia kwenye kisima kilichokuwa kinafanyiwa matengenezo. Video zina maelezo “Do this, send a soft bracelete attached to a rope along with a speaker, let his dad explain to him how wear it...
  3. E

    2022 one of my plan is to give more

    Habari zenu Jf. Heri ya mwaka mpya 2022, natumaini wengi wenu ni wazima na wale wenye udhaifu wowote basi Mungu aliye juu sana awatie nguvu ,shauri ,ujasiri na uhodari katika kushinda udhaifu huo. 2022 one of my plan is to give more......... Mwaka mpya umeanza kila mmoja yupo kwenye...
  4. Waisilamu changamkieni fursa kipindi hiki cha uhaba wa maji

    Thawabu Za Kutoa Maji Katika Uislamu: Sababu Saba Za Kujenga Kisima cha BURE Maji ni neema kutoka kwa Mwenyezi Mungu (swt) ambayo mara nyingi tunaichukulia kawaida, lakini wakati wa ukame, kupitia rehema za Mwenyezi Mungu, tunazidi kufahamu shida zinazowakabili wale wasio na maji salama...
  5. L

    Mabibo,Manzese,Mburahati : Kisima cha mabondia nchini Tanzania

    Nimefanya uchunguzi na kugundua maeneo hayo tajwa yamesheni mabondia chipukizi waliofufua mchezo wa ngumi kupitia Azam Tv inayoonesha mapambano ya ngumi moja kwa moja chini ya promota Selemani Semunyu. Vijana wengi wanaocheza mchezo wa ngumi wamepata mafanikio makubwa katika mchezo huu hasa ktk...
  6. T

    Maji ya kisima kutoa mafuta

    Habari za mchana! Naomba kujuzwa na wenye uelewa zaidi! Kaka yangu ana eneo huko Pwani ambapo amechimba kisima pia kwaajili ya matumizi yake ya nyumbani hapo! Sasa kumekuwa na hali ya maji hayo yakichotwa then yakalala kwenye ndoo au chombo chochote yanatoa layer ya mafuta! Je ni hali ya...
  7. Mexico: Kisima cha kuchimba gesi chalipuka

    Leo ni siku moja bahari ikizidi kuungua maana gesi ilipasuka imesababisha hali mbaya kwa viumbe huko mexico yucatan peninsula. Bado serekali ijaeleza sababu ni hipi! Bado watalaamu wanazidi kupambana kutatua hilo tatizo. ======== MEXICO CITY, July 2 (Reuters) - A fire on the ocean surface...
  8. K

    Tumerudi kuibomoa nchi kuilinda CCM, mama kibao kikigeuka kisima kitakauka maji

    Chama Cha mapinduzi pambaneni kwa hoja achaneni na dola. Mnatia aibu mambo madogomadogo yanayowekwa kimkakati na wapinzani wenu yawachafue kimataifa mnashindwaje kuyang'amua. Vimitego vidogo vidogo mnavyoshindwa kuving'amua ndivyo binawapa mailage ya kisiasa chadema na wafuasi. Mmekubali kuwa...
  9. Wachimbaji visima vya maji kwa mashine: Tutakupa pampu, UPVC Pipes, utasafishiwa kisima na kupewa tenki

    TAWA WATER PROFFESIONAL: Tunachimba visima virefu na vifupi kwa kutumia mashine maalumu. Ukichimba kisima na kampuni yetu tutakuwekea vitu vifuatavyo bure kabisa 1: Tutakuwekea Upvc pipes Imara bure kabisa 2: Gravel nazo tutakuwekea bure 3: Tutakupa na kukufungia Water pump bure 4...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…