Kuna tangazo linawekwa sana UTV rais Samia anasema kuwa kila anapo safiri wasaidizi wake lazima wabebe kisimbuzi cha Azam.
Sasa ninachojiuliza, inamaana akitoka ikulu ya Dar wasaidizi wake wanabeba wanaenda nacho Kizimkazi, badae wanaunganisha nacho Dodoma, badae wanaenda nacho Mwanza n.k...
Tunauza na kusambaza kisimbuzi Cha Azamtv, DSTV, Startimes na Zuku.
Na accessories mbalimbali:
#Remote control, #Antenna Cable
#HDMI ( mita moja Hadi 20)
#LNB #TVstand, n.k
Pia tunatoa huduma ya ufundi wa TV, kufunga dish, kufunga TV units.
Tupo Makumbusho na Kimara, Dar es salaam.
+255756126081
Miaka ya 1960 mpaka miaka ya 2000 nchini Tanzania runinga nyingi zilitumia mfumo wa analojia ambapo mfumo huo uliwezesha runinga hizo kupata matangazo ya moja bila kuwa na kisimbuzi ambapo mtumiaji alipaswa kuunganisha runinga yake na antena ili kupata matangazo ayo...
Ipi ilikuwa sababu iliyokufanya ukichague kisimbuzi hicho na uachane na vingine?
Nilikuwa mtumiaji wa satelite dish isiyo ya kulipia, ukarabati wake unaelekea kunishinda, nina mpango wa kuhamia kwenye visimbuzi
Nimeshangaa kusikia eti wanaojiita wataalam wa Kiswahili wakisema kwamba Tafsiri ya neno ‘Decoder’ ni ‘Kisimbuzi’, huo ni uongo wa wazi kabisa.
‘King’amuzi’ ni neno lililonyumbuliwa kutoka kwenye neno ‘ng’amua’ , kung’amua maana yake ni ‘Ku-decode’ , na hivyo kitu kinachofanya hiyo kazi ya...
Ina maana kwa mimi Mtanzania mwenye kisimbusi cha Azam ndo basi kombe la Dunia Qatar 2022 sipelekwi? Wadau sisi hatutaweza ona hata nusu ya matches? Nimeulizwa hayo maswali sikuweza jibu. Nawasifu sana DSTV kwa kweli.
Mambo vipi wakuu, nahitaji kujua kitu.
Ivi ile offer ulikua ukinunua kisimbuzi kipya unapewa mwezi mzima bure amna ama?,
Nauliza ivyo maana nimenunua kipya leo kuwasha naona free local chanel
Cha antena 99k
Wapenda bure kilio chetu kimesikika na hatimaye chanel za ndani zimeanza kupatikana/kuonekana bila kujali una kifurushi au la.
Mimi kwangu nabadili tu chanel mara clouds sijakaa sawa chanel ten kidogo eatv nk
Nipeni mrejesho Wapenda bure wenzangu
Uzi tayari
Nauza kisimbuzi changu cha Azamtv bila dish, tena kisimbuzi hiki ni cha Kenya yaani package ya kuangalia NBC Premier League wewe utatazama kwa kulipia 13,000/= tu badala ya elfu 20,000/= Na usiwaze jinsi ya kulipia kifurushi, utalipia kwa M-pesa Visa card kwenye simu yako.
Changamkia fursa hii.
Naombeni msaada kwa mtu yeyote au fundi ambye anajua frequency za kisimbuzi cha Canal +, nmenunua lakin fundi ameniomba niulizie frequency zake.
Na je ushauri, dish lake la Canal + naweza pata maeneo gani plz kwa yeyote anaejua anisaidie.
Naulizia kwa yeyote anaejua ni kisimbuzi gani kinaonesha ligi ya ufaransa naomba anisaidie please pamoja na details za hicho kisimbuzi including malipo yake ya bundle na gharama ya kisimbuzi plus installation charges.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.