kisimbuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, naweza funga LnB ya dstv kwenye kisimbuzi Cha Azam ama LnB ya Azam kwenye kisimbuzi Cha dstv na ikafanya kazi?

    Je, naweza funga LnB ya dstv kwenye kisimbuzi Cha Azam ama LnB ya Azam kwenye kisimbuzi Cha dstv na ikafanya kazi?
  2. Je ni hali ngumu? Rais Samia Kusafiri na Kisimbuzi cha Azam kila aendapo?

    Kuna tangazo linawekwa sana UTV rais Samia anasema kuwa kila anapo safiri wasaidizi wake lazima wabebe kisimbuzi cha Azam. Sasa ninachojiuliza, inamaana akitoka ikulu ya Dar wasaidizi wake wanabeba wanaenda nacho Kizimkazi, badae wanaunganisha nacho Dodoma, badae wanaenda nacho Mwanza n.k...
  3. A

    INAUZWA Agiza TV accessories na kisimbuzi utafikishiwa popote ulipo.

    Tunauza na kusambaza kisimbuzi Cha Azamtv, DSTV, Startimes na Zuku. Na accessories mbalimbali: #Remote control, #Antenna Cable #HDMI ( mita moja Hadi 20) #LNB #TVstand, n.k Pia tunatoa huduma ya ufundi wa TV, kufunga dish, kufunga TV units. Tupo Makumbusho na Kimara, Dar es salaam. +255756126081
  4. Wale Matajiri wenye Kisimbuzi cha Kitajiri cha Dstv hizi Mechi za CAFCL ilipo Yanga na ile ya CAFCC iliyopo Simba tunazitizama katika Channels gani?

    Tafadhali kama unajijua unamiliki Visimbuzi vya Kimasikini cha Njia Panda Bamaga usithubutu kuja hapa Kuchangia.
  5. Star TV kwenye kisimbuzi cha azamu inatatizo la picha tangu asubuhi je hawajui?

    Tangu asubuhi Star Tv haioneshi picha ni sauti tu inamaanisha hawa jamaa hawajui nini kinaendelea au ujinga wao tu USSR
  6. SoC04 Kuanzishwa kwa kisimbuzi kimoja kitakacho kusanya channel za ndani na nje ya nchi

    Miaka ya 1960 mpaka miaka ya 2000 nchini Tanzania runinga nyingi zilitumia mfumo wa analojia ambapo mfumo huo uliwezesha runinga hizo kupata matangazo ya moja bila kuwa na kisimbuzi ambapo mtumiaji alipaswa kuunganisha runinga yake na antena ili kupata matangazo ayo...
  7. Msaada: Dishi lipi zuri kwa matumizi?

    Namzungu best yangu kanitext ananiuliza which is the best dish for me to buy so i can watch movies and other good stuff
  8. Kipi ni kisimbuzi chako pendwa?

    Ipi ilikuwa sababu iliyokufanya ukichague kisimbuzi hicho na uachane na vingine? Nilikuwa mtumiaji wa satelite dish isiyo ya kulipia, ukarabati wake unaelekea kunishinda, nina mpango wa kuhamia kwenye visimbuzi
  9. BAKITA acheni upotoshaji, Decoder ni King’amuzi, Transmitter ni Kisimbuzi

    Nimeshangaa kusikia eti wanaojiita wataalam wa Kiswahili wakisema kwamba Tafsiri ya neno ‘Decoder’ ni ‘Kisimbuzi’, huo ni uongo wa wazi kabisa. ‘King’amuzi’ ni neno lililonyumbuliwa kutoka kwenye neno ‘ng’amua’ , kung’amua maana yake ni ‘Ku-decode’ , na hivyo kitu kinachofanya hiyo kazi ya...
  10. Qatar 2022 Kwa Sisi wa Kisimbuzi cha Azam ina maana hatupati Kitu? Nasonga Mbele.

    Ina maana kwa mimi Mtanzania mwenye kisimbusi cha Azam ndo basi kombe la Dunia Qatar 2022 sipelekwi? Wadau sisi hatutaweza ona hata nusu ya matches? Nimeulizwa hayo maswali sikuweza jibu. Nawasifu sana DSTV kwa kweli.
  11. Ivi azamtv offer ya kisimbuzi kipya ipo?

    Mambo vipi wakuu, nahitaji kujua kitu. Ivi ile offer ulikua ukinunua kisimbuzi kipya unapewa mwezi mzima bure amna ama?, Nauliza ivyo maana nimenunua kipya leo kuwasha naona free local chanel Cha antena 99k
  12. Hatimaye chanel za ndani zaanza kuonekana kwenye kisimbuzi cha DSTV bila kifurushi chochote

    Wapenda bure kilio chetu kimesikika na hatimaye chanel za ndani zimeanza kupatikana/kuonekana bila kujali una kifurushi au la. Mimi kwangu nabadili tu chanel mara clouds sijakaa sawa chanel ten kidogo eatv nk Nipeni mrejesho Wapenda bure wenzangu Uzi tayari
  13. Nishaurini kati ya Dstv na Azamtv ninunue kisimbuzi gani?

    Napenda mipira yote ya bongo na ulaya, king'amuzi gani kinafaa hapo kwa huu uchumi wa kati? Naombeni ushauri
  14. Kisimbuzi cha Azam Tv bila dish kinauzwa

    Nauza kisimbuzi changu cha Azamtv bila dish, tena kisimbuzi hiki ni cha Kenya yaani package ya kuangalia NBC Premier League wewe utatazama kwa kulipia 13,000/= tu badala ya elfu 20,000/= Na usiwaze jinsi ya kulipia kifurushi, utalipia kwa M-pesa Visa card kwenye simu yako. Changamkia fursa hii.
  15. H

    Kwa yeyote anaejua Frequency za ku set kisimbuzi cha Canal +

    Naombeni msaada kwa mtu yeyote au fundi ambye anajua frequency za kisimbuzi cha Canal +, nmenunua lakin fundi ameniomba niulizie frequency zake. Na je ushauri, dish lake la Canal + naweza pata maeneo gani plz kwa yeyote anaejua anisaidie.
  16. H

    Anayejua Channel au Kisimbuzi kinachoonesha ligi ya Ufaransa

    Naulizia kwa yeyote anaejua ni kisimbuzi gani kinaonesha ligi ya ufaransa naomba anisaidie please pamoja na details za hicho kisimbuzi including malipo yake ya bundle na gharama ya kisimbuzi plus installation charges.
  17. D

    Kisimbuzi Cha startimes kinaniambia niingize dekod pin kwenye channel ya ITV. He dkoda pin number ipi

    Leo dekoda imenambia hivyo.. cjui tatizo Nini hebu nitatulieni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…