kisinda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    Mkude ana nyota ya Kisinda

    Kati ya wachezaji wenye bahati ni mkude. Yaani wakati Simba wanamwona wa nini Yanga watamtaka lini Dili ikatimia kijana anabeba makombe hivi sasa. Likewise ndugu yetu kaka yetu kisinda wa Berkane alikuja Yanga. Kila mtu akaongea yakee baana imetoshasasaà arudi alipotoka. Kisinda anacheza...
  2. Shark

    Yanga yaachana na Winga Tusila Kisinda

    === Klabu ya Yanga SC imeachana na mchezaji raia wa Congo DR, Tuisila Kisinda ikiwa ni baada ya mkataba wake kuisha ndani ya klabu hiyo. Taarifa ya Yanga imesema "Tunamshukuru Kisinda kwa mchango wake katika kipindi chote alichokuwa nasi na tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya nje...
  3. kavulata

    Ramadhani Kayoko amelikataa goli la Kisinda kwa bahati mbaya TU?

    Mechi ya Yanga dhidi ya Mbeya City nilishangazwa kuona matendo ya Kayoko yakipingana na akili yake na hata Ile ya mshika kibendera wake wakati wa kulikataa goli zuri la Kisinda. Huwezi kufanya kama vile Bure Bure kabisa,
  4. OKW BOBAN SUNZU

    Wachezaji kama Kisinda wapo wengi Tandika

    "Wachezaji wanaocheza kama Tuisila Kisinda wapo wengi sana pale Tandika Mabatini" Haya sio maneno yangu ni maneno ya mchambuzi Wilson Oruma. My Take: Kamati za usajili kuweni makini hasa kwa wachezaji kutoka nje
  5. Komeo Lachuma

    Tuisila Kisinda amesemwa sana. Wazee wamesikia wameamua kumsaidia

    Sasa Tuisila Kisinda TM Master. Tayari atakuwa ameiva. Wazee waliambiwa na viongozi kumfanyia kazi kama ambavyo huwa tunawafanyia wachezaji ambao wanakuwa tayari kusaidiwa. Aziz Ki mmoja wapo na Mayele pia. Wameenda wamempika. Sasa zile kebehi zenu nyie wala mihogo na maji ya pakti...
  6. KAGAMEE

    Makambo na Kisinda wanasubiri nini Yanga?

    Mimi siyo wa kulalamika but nimefatilia uchezaji wa MAKAMBO na KISINDA kwa msimu huu hakuna kitu wanaisaidia timu bora wapelekwe hata Simba SC kwa mkopo. Ni kweli sisi ni unbeaten, Tunaongoza ligi,tunaongoza kuwa na furaha,tuna jezi nzuri Afrika. Lakini nataka kujua hawa watu wana mchango gani...
  7. OKW BOBAN SUNZU

    Sikuona tofauti ya Linesman na Tuisila Kisinda

    Tukiweka ushabiki pembeni kuna mambo ya kuionea huruma sana Yanga. Moja kati ya hayo ni usajili wa Tuisila Kisinda. Nakukumbusha tu kwamba huyu ndiyo mchezaji aliyewalipisha faini Yanga huko CAF ili atumike kimataifa. Huyu ndiyo yule aliyeifanya TFF iingie kwenye aibu kuhusu usajili wake. Huyu...
  8. MSAGA SUMU

    Jemedari: Kisinda hatoweza kucheza hata mechi moja msimu huu

    Gwiji la uchambuzi wa soka nchini Jemedari Mwana wa Kazumari amesema kutokana na ubobevu wake wa michezo anaamini kwa asilimia 100 kuwa mchezaji Kisinda hatocheza hata mechi moja msimu huu. Amesema jamii impe muda atakuja kutolea ufafanuzi kauli yake hiyo.
  9. Sildenafil Citrate

    Rasmi: Kisinda ruksa kuichezea Yanga

    Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imepitisha usajili wa Twisila Kisinda kuichezea Yanga baada ya klabu hiyo kumuhamisha mchezaji wake wa kigeni Lazarous Kambole. Awali Kamati hiyo ilizuia usajili wa Kisinda licha ya kuwa ulifanyika ndani ya...
  10. GENTAMYCINE

    Kocha yoyote mwenye Akili tarehe 23 Oktoba, 2022 ataanza na Moloko na siyo Kisinda

    Na tusio na Timu ( Ushabiki ) wa Klabu yoyote ile hapa Tanzania ila ni Wadau tu wa Mpira na Maendeleo yake tunajua Kocha 'Genius' Nabi hatoanza na Kisiinda ( Nuksi ) hiyo tarehe 23 Oktoba, 2022 kwa Mkapa bali ataanza na Moloko ( Bahati ) kama anataka kweli Ushindi.
  11. NetMaster

    Onyango alivosikia Kisinda amerudi Yanga akaomba kuondoka, alivyosikia TFF wamemfungia akarudi Simba, asiyempenda karudi, sasa itakuwaje?

    Hapa Onyango atajilaumu kwanini karudi maana alivyosikia anakuja aliomba kuondoka, namuonea huruma Babu wa watu. Naona muda wa kupimana Umri umefika Sasa, Shida iko PALEPALE Onyango alikubali kusalia ukoloni baada ya kusikia mwamba kapigwa pini, Ila sasa aliko huko hana raha.
Back
Top Bottom