Mimi siyo wa kulalamika but nimefatilia uchezaji wa MAKAMBO na KISINDA kwa msimu huu hakuna kitu wanaisaidia timu bora wapelekwe hata Simba SC kwa mkopo.
Ni kweli sisi ni unbeaten, Tunaongoza ligi,tunaongoza kuwa na furaha,tuna jezi nzuri Afrika. Lakini nataka kujua hawa watu wana mchango gani...