kisingizio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CHADEMA wasitisha safari kuelekea Katesh-Hanang kuwafariji wahanga wa mafuriko kutokana na vikwazo walivyowekewa

    Kupitia mtandao wa X, GODBLESS LEMA ameandika kuwa wameamua kusitisha safari ya kutembelea wahanga wa mafuriko kateshi wilayani Hanang kutokana na vikwazo vikali wanavyokutana navyo tokea waanze safari ya kuelekea huko --- Tumekatisha safari ya kuelekea Katesh- Hanang kuona waanga wa mafuriko...
  2. Idara za Uokoaji zinalenga nini kutangaza Ajali za Uongo kwa kisingizio cha Mazoezi?

    Ndugu zangu, binfasi natambua na kuheshimu kabisa hili suala la kufanya Mazoezi ya Utayari kwa sababu lina manufaa lakini bado napata shida sababu za kutangaza matukio hayo kwenye Vyombo vya Habari tena kwa kutaja idadi ya waathirika, aina ya Chombo kilichopata ajali na eneo. Hivi hawa watu...
  3. M

    Kisingizio 'Maalum' cha Kufungwa Tunisia Jumapili tumeshakipata

    1. Baridi Kali 2. Baridi Kali 3. Baridi Kali 4. Baridi Kali 5. Baridi Kali 6. Baridi Kali 7. Baridi Kali Kila la Kheri Watunisia hiyo Jumapili.
  4. CCM hatutakubali taswira ya Rais kuchafuliwa, kuruhusiwa mikutano isiwe kisingizio

    Wana JF salaam, CDM, CUF, NCCR, ACT na vyama vingine vya siasa nchini, fahamuni kwamba kufunguliwa kwa mikutano nchini si sababu ya kutumia lugha za ajabu na zinazochafua image ya Rais wetu Samia Suluhu Hassan. Wataokashindwa kutumia Uhuru wa kutoa maoni, kukusanyika na kuanza siasa za...
  5. Baraza la Mitihani acheni kuua wawekezaji binafsi kwenye elimu kwa kisingizio cha udanganyifu katika mitihani

    Baraza la mitihani limekubuhu kwa tabia ya kufuta na kufungia shule kwa kisingizio cha udanganyifu katika mitihani. Hii inafanyika kwa namna ya kuonyesha kuwa udanganyifu huo unafanyika kwenye shule binafsi tu. Bahati mbaya hakuna uwazi wa namna wanavyofikia maamuzi yao. Kwa kawaida udangayifu...
  6. B

    Kisingizio gani uliweka kwa mwenza wako baada ya kujua umepiga shoo mbovu?

    Habari wadau, Mafarisayo, wapambanaji, watafutaji bila kusahau wachakataji. show yangu mbovu kuliko zote ni mwenda zake aligoma kusimama kabisa bustani ya eden nilivuta bangi na hisia zote lakini wapi wala hakutikisika. basi binti alituma sana salamu BJ lakini wapi sijui mizimu ilitaka...
  7. Chagua Kisingizio Kimoja tu cha Kujitetea kwa Mashabiki wa hovyo baada ya Msudani kufanya yake

    1. Refa katuonea Saba 2. Tumefanyiwa Fujo 3. Tulipuliziwa Dawa Vyumbani 4. Tumerogwa sana 5. TFF ilitutenga haikutupa Mbinu 6. Mashabiki zetu walizuiwa Kuingia Uwanjani 7. Tumejitahidi ila Malaika Bahati hakuwa upande Wetu Bado GENTAMYCINE tena kwa Kujiamini kabisa nasisitiza kuwa hata Jumapili...
  8. Dance groups wanayocheza barabarani kwa kisingizio cha kumtumikia Mungu wapimwe akili

    Haya makundi ya wacheza muziki kumsifia Yesu si sahihi(hii style ya kupiga (mauno) Wanafanya makosa makubwa katika Imani inayohusu waumini lukuki. Mbaya zaidi wanawashirikisha watoto wadogo chini ya miaka 18. Haki za Watoto zinabakwa.
  9. M

    Kenya 2022 Kuchafua uchaguzi wa Kenya kwa kisingizio cha ukabila ni kujilisha upepo

    Nianze kwa kuwapongeza ndugu zetu wakenya kwa kumpata Rais aliyetokana na uchaguzi ulio huru, haki na uwazi ambao pengine siyo somo kwa waafrika tu bali pia hata katika baadhi ya mataifa ya mabara mengine. Humu wamejitokeza wanaJF ambao wamejipa kazi ya kuchafua jitihada nzuri Sana zilizo...
  10. Naiona posho kiduchu mafunzo ya makarani wa Sensa 2022 (Tsh 10,000-20,000) kwa kisingizio cha Uzalendo, na si 60,000 kama wanavyotegemea wengi

    Watu hasa watumishi kwa miaka ya nyuma serikali ilitumia kazi maalumu na kuwapa posho kwa dm ili kuongeza motisha na tija na uhakika wa kazi bora kwani ni rahisi kudhibiti utendaji wao. Kwa kile kinachoonekana nia ya Viongozi wa serikali kuzidi kuchonganisha Raisi na kila kundi baada ya ahadi...
  11. S

    Mradi wa umeme uko asilimia 12 tu na umechelewa kwa miezi 8 Dk Mpango asema hataki kusikia kiswahili wala kisingizio

    Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango ameinyooshea kidole Wizara ya Nishati kutokana na kushindwa kusimamia mradi wa ujenzi wa njia kuu ya kusafirisha umeme wa msongo wa Kilovoti 132 kutoka Tabora hadi Katavi ambao umechelewa kwa takribani miezi 8 sasa. Ujenzi wa Mradi huo uko asilimia 12 tu...
  12. M

    Kumbe Ukraine imepewa silaha nyingi kuliko ilivyoomba: lakini kila siku inalilia silaha kama kisingizio cha kushindwa vita

    Ukraine imeelemewa katika uwanja wa vita japo kila siku inasingizia kuwa haina silaha za kutosha. Mwishowe nchi za magharibi zimeweka wazi kuwa Ukraine hadi sasa imeshapewa silaha nyingi sana kuliko kiasi ilichoomba!! Imepewa mifumo ya kushambulia vifaru kwa kiasi kikubwa mno kuliko idadi ya...
  13. Maandamano yanayoambatana na kuharibu mali kwa kisingizio cha Demokrasia

    Naomba kabla sijaendelea kusema jambo moja... "Naunga mkono vuguvugu za kidemokrasia ambazo sii za vurugu" Daima siungi mkono vurugu kwa kisingizio cha Demokrasia. Wanajamvi leo naomba kusema kitu ambacho najua wengi wetu wanaweza wasinielewe LAKINI naamini kuna watakaonielewa. Mara nyingi...
  14. Picha: Kama kawaida vijana wa Bavicha wakigongea Kahawa mitaani Bukoba Kwa kisingizio Cha Katiba mpya. Kwa Sasa wanahali ngumu sana kiuchumi

    Kila mtu anajua fila kuwa Chadema inawakati mgumu sana, sasa imefikia kiasi Cha kupiga mizinga vijiweni
  15. Kama tutakodi mitambo ya kuzalisha umeme kwa kisingizio cha ukame basi itabidi kila mtu ajipigie tu

    Naona mgao wa umeme kwa sasa ni rasmi japo hakuna tangazo la TANESCO. Tulikaa miaka zaidi ya mi5 bila kusikia mgao,na ndani ya muda huo wananchi hasa wa vijijini kufungiwa umeme kwa bei chee kabisa. Ila sasa toka ameingia ndugu yetu JM kelele zimekuwa nyingi na visingizio ambavyo kwa kweli...
  16. Acha Kuzuga; Maisha hayana kisingizio.

    ACHA KUZUGA; MAISHA HAYANAGA KISINGIZIO. Anaandika, Robert Heriel. Yule Mtibeli. Maisha hayakuzugi, hayachezi na wewe, hayana mzaha, yapo halisi, ni tukio Linaloenda mubashara ambalo hakuna kuhaririwa, maisha hayanaga kisingizio, hayabahatishi na hayapo kibahati bahati, ingawaje wahusika ambao...
  17. Hapa hamna kisingizio tena

    Yohana 3:23 Yohana naye alikuwa akibatiza huko Ainoni, karibu na Salimu, kwa sababu huko kulikuwa na maji tele; na watu wakamwendea, wakabatizwa. kama watu walisafiri kutafuta ubatizo wa maji mengi, ni hakika kuwa ubatizo wa Mengi ndo ulio ubatizo sahihi kibiblia
  18. Gwajima anawakilisha lile kundi linalotaka kumkwamisha Mama kuongoza nchi, hili la Chanjo ni kisingizio tu

    Tunakumbuka kuwa kulikuwa kuna fununu za jitihada za kutaka Mama asishike usukani baada ya Mzee kufariki, na hali hiyo ilichangia kuchelewa kutangawaza kifo cha Mzee mpaka pale Mkubwa wa Mapiganaji wetu alivyoingilia kati Tunakumbuka wakati wa mazishi ya Mzee kule kijijini Mkubwa wa Mapiganaji...
  19. Kisingizio cha kutuletea maendeleo isiwe sababu ya kutunyima katiba itayoleta haki kwenye Taifa letu

    Hivi kwa akili ya kawaida tu kuna tatizo gani kufanya implementation ya rasimu ya katiba ya Jaji Warioba kisha taifa likawa na katika ambayo itaondoa manug'uniko katika taifa. Kila kitu kipo tayari kimeshapikwa ni suala la kupakua tu na kuweka mezani. Rasimu ipo na ilishatoa mapendekezo...
  20. #COVID19 Tanzania: Serikali yaagiza uvaaji barakoa kwenye mikusanyiko

    Serikali ya Tanzania imeagiza wananchi kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa corona kwa kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko, ili kujikinga na wimbi la tatu lililoibuka katika mataifa mbalimbali. Wakuu wa mikoa na wilaya wameagizwa kuhakikisha wanatimiza agizo hilo kwa kuzishirikisha kamati za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…