WAZEE WATATULIWE CHANGAMOTO ZAO, WASITUMIKE KUHALALISHA MATAKWA YA WATAWALA
Jana Rais Samia Suluhu Hassan alikutana na wanaoitwa "wazee wa Dar es Salaam" katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City.
Kama kawaida, wazee walipigwa "sound", wakapiga makofi, wakapiga picha, wakala FUTARI wakarejea...