A kiss is the touch or pressing of one's lips against another person or an object. Cultural connotations of kissing vary widely. Depending on the culture and context, a kiss can express sentiments of love, passion, romance, sexual attraction, sexual activity, sexual arousal, affection, respect, greeting, friendship, peace, and good luck, among many others. In some situations, a kiss is a ritual, formal or symbolic gesture indicating devotion, respect, or sacrament. The word came from Old English cyssan ("to kiss"), in turn from coss ("a kiss").
Kuna mambo ambayo yanachukuliwa kuwa ni ya asili(natural human behavior) kama kula, kulia, kucheka, sex nk nk. Yaani huitaji kufundishwa ndio uvifanye, vinakuja vyenyewe by instinct
Lakini kuna mambo ambayo ni ubunifu tu wa binadamu, mambo hayo yanahitaji ujifunze ili uyajue, hayaji yenyewe by...
Katika pita pita zangu huko Kwenye mitandao nikakutana na Hii prank ambayo ikaniacha mdomo wazi..
Kuona Mwanaume mwenzangu akikubali Mpenzi wake au Mchumba kama wanavyoitana apokee upako wa Busu Kwa malipo ya Tsh 500,000/=
Ukiangalia mpkaa mwisho utamkuta ndugu mtangazaji akimshawishi Kumla...
Dee7 (jina lake maarufu) aliekuwa mtangazaji wa radio Kiss FM ya jijini Mwanza amefariki dunia hapo jana tarehe 23.09.2023.
Kwa wale waliokuwa wapenzi wa kipindi cha African Beats pale Kiss FM mtakuwa mnaikumbuka vyema sauti yenye mamlaka ya huyu ndugu yetu na bila kusahau mchango wake mkubwa...
Mgogoro baina ya wafanyakazi na uongozi wa Kampuni ya Sahara Media Group Limited hauoneshi dalili za kuisha hivi karibuni baada ya taarifa kuibuka kwamba kampuni hiyo imewasimamisha kazi wafanyakazi kwa madai kwamba hakutakuwa na uzalishaji wa vipindi kupisha maboresho ya kiufundi.
Hata hivyo...
Kama inavyojulikana njia ya mtu kuambukizwa VVU ni kipitia kujamiana ukiachana na njia zingine kama kuwekewa damu ya muathirika n.k
Leo nimeenda mazingira Fulani mkoani kilimanjaro kwa ajili ya kucheck vipimo n.k, vipimo ambavyo tunavijua kwa wingi ni rapid test zile SD Bioline.
But nimekutana...
Baada ya kushindwa kutoa burudani usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Next Door Arena msanii huyo kutoka Nigeria amekamatwa na Polisi.
=========
Baada ya kushindwa kutoa burudani usiku wa kuamkia leo Agosti 8, 2022 katika Ukumbi wa Next Door Arena, msanii Kizz Daniel kutoka Nigeria...
Habari wadau
Nipo katika mahusiano na binti fulani hivi ajabu tukikiss anaweka mate mdomoni kisha anatema chini nimeongea naye sana lakini hataki kuiacha kiasi inafika wakati najisikia vibaya mno. Nimegombana naye lakini hataki hata tuwe chumbani tukikiss anaweka mate mdomoni kisha anakwenda...
Movies zao karibia zote lazima ziwe na characters ambao ni gays. Nlikuwa nangalia Bridgerton, nmeangalia mpk episode ya 3 sijaona scenes zenye hyo mambo mpk nkajisemea wamejtahidi kweli 😂
Hee kufika episode ya 4 wameonyesha gays km kawaida yao. Halafu scene yenyewe ina km sekunde 5 tu hta...
Soviet Union Female Assassins: Majasusi wa kike wa K.G.B na silaha ndogo ya hatari sana iliyoitwa "Lipstick Pistol" (The Kiss of Death)
UTANGULIZI
=====
Mnamo mwaka 1969 bwana Markov akaondoka kutoka nchini Bulgaria akahamia nchi za magharibi. Kwanza alianzia Italy kisha akaweka makazi yake...
Wakongwe wa hadithi naomba niwakumbushe juu ya kisa hiki cha kale. Najua kimesimuliwa sana, ila nafikiri si vibaya nikiwasimulia tena.
Siku moja Abunuasi alienda kwa Sultan. Katika mazungumzo akamweleza Sultan jinsi yeye Abunuasi alivyokuwa fundi hodari wa kushona nguo za kila aina. Akamwambia...
Mjadala mkali umezuka mitandaoni kuhusu tabia ya Kobe Bryant kum-kiss mdomoni hadharani mwanae wa kike, Gianna.
Je, Kobe alikuwa sahihi kumfanyia hivi mwanae?
Wawili hawa wamefariki dunia kwenye ajali 26/01/2020.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.