kistaarabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jack Daniel

    Ishi kistaarabu ukiwa ugenini,dumisha mahusiano ya undugu au ukaribu wenu

    Hello jamiiforums Hakuna ambaye hajawahi kupokea ugeni,hakuna ambaye hajawahi kuwa mgeni wa mtu,safari zipo iwe kikazi misiba ,sherehe au kuamua kutembelea ndugu zako hususani mwishoni mwa mwaka. Unaweza ukawa na shughuli fulani mkoani,ama utoke mkoani uje Jiji hili la Dar es salaam,ukawaambia...
  2. felakuti

    Viwanja vya kistaarabu vya kula bata na wadada classic

    Sometimes unapokuwa na hela hutamani kua sehemu ambayo sawa kuna wadada ila ukiwaangalia tu anakuja mezani kwako ama sehemu ulipo anaanza kukuambia twende tukapumzike ama naomba ninunulie bia, hapo hata personal hygiene yake ni mbaya.. Napenda sehemu ambazo za kistaarabu kuna pisi kali sawa ila...
  3. Mindyou

    LGE2024 Lindi: Msimamizi wa Uchaguzi kwenye Manispaa asisitiza wagombea kufanya kampeni za kistaarabu

    Wakuu, Mbona maelekezo yameanza kuwa mengi na hata kampeni hazijaanza? Msimamizi wa uchaguzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi, Juma Mnwele amevihimiza vyama vya siasa vinavyoshiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kuhakikisha kampeni zao zinafanyika kwa kistaarabu na kwa kufuata...
  4. Waufukweni

    LGE2024 Manyara: Wanawake Babati wataka kampeni za kistaarabu, uchaguzi ufanyike kwa amani

    Wanawake wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara wamewataka Wagombea wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na wanachi kwa ujumla Wilayani humo kufanya na kushiriki kampeni za kistaarabu katika uchaguzi huo pindi zitakapoanza Novemba 20, 2024. Soma: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa...
  5. Kidagaa kimemwozea

    Maana ya kubeti kistaarabu

    Mara zote kampuni na asasi za Betting industry zimetakiwa kuwakumbusha wateja kubeti kistaarabu , hii nikutokana na ukweli kuwa betting inasabaisha matatizo ya Afya ya akili Kama msongo na addiction. Unachopaswa kuifundisha akili yako nikiwa hakuna utajiri unaotafutwa kwa betting na kuwa betting...
  6. N

    TBL imezindua Kampeni yake ya ‘Smart Drinking’ yenye lengo la kutoa elimu ya kunywa kistaarabu

    Katika kusheherekea siku ya bia duniani, Kampuni ya Bia ya Tanzania (TBL), inayoongoza kwa utengenezaji wa vinywaji hapa nchini, leo imezindua Kampeni yake ya ‘Smart Drinking’ yenye lengo la kutoa elimu ya kunywa kistaarabu. Kampeni hii inalenga wauzaji na watumiaji wa bia ili kuwahimiza kunywa...
  7. Dumuzii

    Hakuna Mwizi wa Gari anaendesha gari kistaarabu

    Ni hivi ndugu zangu nipo kuwakumbusha kuwa hakuna mwizi wa gari akaiba gari na kuliendesha kistaarabu kiasi kwamba hata ukija kulikuta utakuta kama ulivyo liacha. Ni hi atakanyaga mafuta hadi pedo iguse bodi la gari, atalikimbiza na kubadirisha gia bila fomula, atalikwangua pande zote na...
  8. U

    Tundu Lissu: Ukiwa na Rais mwizi mnawezaje kuwa salama? Katiba bora ni kuzuia Marais wezi

    Ama kweli: KNOWLEDGE IS POWER. Kama haya ndiyo matusi tunayoambiwa na kina Makonda, basi iko shida mahali bila shaka. Yaani ukweli kwa hawa ndugu zetu, kwao ni matusi. ============= Tukirudi kwenye mada kumhusu huyu mwamba. Kwamba, haina shaka kuwa anaijua historia ya Tanganyika na...
  9. MGOGOHALISI

    Kumrudisha Makonda Katika Uongozi ni Ishara Tosha kuwa CCM Hawaziwezi Siasa za Kistaarabu Kama Wanavyojinasibu

    Ndiyo hivyo. Kiongozi makini na mstaarabu kamwe abadani hawezi mpa nafasi Makonda. Lakini kwa CCM hii imetokea kwa sababu Hayati Magufuli alishawazoesha siasa chafu. Hapo katikati walijaribu kurudi lakini hoja za siasa toka upande wa pili zinawashinda majukwaani. Wameamua kurudisha warusha...
  10. Balqior

    Hongereni wanawake mnaotukataa kistaarabu, pale tunapowatongoza kistaarabu, amini mko wachache sana

    Kwenye utongozaji Linapokuja swala la kukataliwa, wanaume tunakutana na wanawake wa aina mbili: Aina ya kwanza ya wanawake ni wale ambao ukiwatongoza, wakikukataa, hadi moyo unaridhika, unatamani hata umnunulie smartphone mpya, na unamtakia kila la heri huko aendako, yani anakukataa in a...
  11. B

    CHADEMA, jino kwa jino haiwezi kuwa Haramu

    Kulitolewa wito kuwataka vyama kufanya siasa za kistaarabu. Kama vile wametumwa yamezuka magenge ya chawa yenye rabsha na uzushi wa kila aina mitandaoni, kupalilia fitna zozote ndani ya vyama vingine. Kwamba wenye chawa hawakemei hali hizi yawezekana ndiyo sera zao. Torati ya Mussa...
  12. Fukua

    Sasa mikutano ya siasa imeruhusiwa, CCM tumejipanga vyema kwa hoja za kistaarabu

    Salaam, Katika kipindi cha miaka 7 Rais aliyepita aliweka zuio la muda la mikutano ya siasa/ hadhara kwa mujibu wa Sheria na tamaduni zetu. Vyama vyote vya siasa tulifurahia na kutekeleza agizo hilo kwa kuzingatia kwamba tulitoka ktk uchaguzi mkuu hivyo tujipe mda wa kupiga kazi kwa ajili ya...
  13. Venus Star

    Namna ya kula embe dodo kistaarabu

    Embe dodo ni aina ya maembe ambayo ni matamu sana. Watu wengi hawajui namna ya kula tunda hili kwa raha na kistaarabu. Leo katika uzi huu nitaeleza namna ya kula embe hili. UTANGULIZI Embe dodo linaweza kuliwa likiwa limeiva au likiwa bichi. Na wakati mwingine embe dodo likiwa bado changa...
  14. kavulata

    Ni nini tafsiri hasa ya "Kufanya siasa za kistaarabu?"

    Ili watu wote tuwe kwenye ukurasa mmoja wa uelewa bila kujali itikadi zetu za kisiasa, elimu, jinsia na hata makabila na kanda zetu tunakotoka ni lazima neno "kufanya siasa za kistaarabu" lipewe tafsiri yake ili wadau wote wafahamu maana yake ili kama mtu mkifanya siasa zisizokuwa za kistaarabu...
  15. Reptilia

    Nyetuka kistaarabu

    Rejea kichwa cha habari hapo juu, Rais alitoa takwimu siku mbili tatu zilizopita ya kwamba asilimia kubwa ya jinsia ke wapo wengi sana kuzidi sisi jentromen. Ukizingatia uchumi ulivyo, hivo basi wanaume tupaswa kudhibit matumizi ya pesa.
  16. F

    CCM jifunzeni siasa za kistaarabu toka kwa majirani

    Nimeambiwa Rais Uhuru yupo DC na ataongea na Biden kama Rais wa kwanza Africa kufika while House kwa official visit na zaidi wataongelea mambo ya demokrasia Africa. Nimejuliza sisi tunakwama wapi? Mbona wa kwetu alikuwa huko huko juzi tu, nini mbaya Haya naambiwa pia Uhuru atamkampenia...
  17. Kurunzi

    Mdude Nyagali, shikilia hapo hapo na usipoe

    Kijana tunajua spirit yako ni moto sana, Hujawahi kuwa dhaifu hata siku moja, toka umetekwa mara ya kwanza na hata ulipokaa jela zaidi ya mwaka na nusu. Walitumia silaha yao ya kuteka, kutesa na kukubambikia madawa ya kulevya, walipoona haupoi, wakaamua kukubambikia kesi ya kubumba. Hawa CCM...
Back
Top Bottom