Habari wanajukwaa, poleni na heka heka za kusaka shekeli.
Ndugu zangu na wanafamilia katika jukwaa hili nipende kuwashukuru Wote mlionitia moyo kufuatia changamoto ya Fangasi waliokuwa wananisumbua, Kuna ambao mlinifuata inbox kunipa ushauri mbalikiwe sana, na wengine waliniambia dawa mbali...