Wanaume wawili wamejaribu kumdunga kisu rais wa mpito wa Mali Assimi Goïta katika msikiti uliopo katika mji mkuu, Bamako.
KanaliGoïta allikuwa akihudhuria ibada ya siku ya Eid ul-Adha katika msikiti wa Grand Mosque.
Mafisa wanasema washambuliaji, ambao kwa mujibu wa Shirika la habari la AFP...