MSANII wa muziki wa singeli, Mohammed Rashid maarufu Mzee wa ‘Bwax’, mwishoni mwa wiki alifanya onyesho la aina yake katika Tamasha la chakula la Coca-Cola maarufu ‘Kitaa Food Fest’ Mbagala, jijini Dar es Salaam.
Msanii huyo aliporomosha burudani ya aina yake iliyoibua shangwe kubwa kwa...