Wakuu,
Nahitaji kuimarisha mahusiano yangu na watu wengine lakini kuna kitu huwa kinanikwamisha nacho ni negativity.
Hili limekuwa serious problem wakuu, Nikikutana na watu wapya huwa nakubalika kwa haraka kisha nawa dominate lakini influence hio haidumu kwa muda mrefu kwasababu wengi huwa...