kitambi

  1. Ubunifu: Mixer ya matunda kwa ajili ya kupunguza uzito na kitambi

    Yanasaidia pia kuboresha ngozi, hamu ya kula, nguvu za mwili.. Mmeng'enyo wa chakula nknk
  2. Kwanini Wanaume wengi wakiingia kwenye Ndoa wanapata kitambi?

    Moja kwa moja kwenye mada, kwanini wanaume wengi baada ya kuingia kwenye ndoa tu haipiti muda wanaanza kuota vitambi. Yani kumjua mwanaume kama ameoa ni rahisi sana asilimia kubwa wanakua na vitambi. kwanini inakua hivi, kifanyike nini ili wawe kawaida kama wale ma bachela KATAA NDOA :) .......
  3. Kilio changu ni kitambi

    😭😭😭 Mahabuba wangu kanenepa mno, mno, mno. Akiwa anavaa chumbani na akiinama, tumbo linaning'inia chini. Nimemkazania mazoezi ila wapiii, ndiyo kwanza mwili unazidi Naumia mno, naona sitendewi haki. Inafika wakati akivua pichu na mkanda, kinafyatuka futuuuu. 😭😭 Wanawake mbona mna makusudi...
  4. Parade la kifalme london: hakuna askri mwenye kitambi kama makomandoo wa tanzania

    Ni sherehe ya siku ya kuzaliwa mfalme wa UK na parade linaongozwa na askari wa uskochi wote wako poa sioni vilibatumbo wala kitambo mbonyea kama wale jamaa USSR
  5. Mei Mosi: Upo uhusiano kati ya maslahi Bora na mfanyakazi kuwa na kitambi?

    Niliowaona kwenye maandano siku ya mei Mosi, 85% ya wafanyakazi walioandamana mbele ya mgeni rasmi, Makamu wa Rais walikuwa na vitambi, viribatumbo. Yaani body mass index (BMI) zao ziko juu, kwa maana nyingine walikuwa na uzito mkubwa kuliko matarajio. Maswali ni, je, wafanyakazi walioandamana...
  6. Kataa kitambi, unene kupindukia sio afya

    Siku zote, wenzetu wanakula, na wakila, wanakula vyakula ambavyo vinajenga miili yao. Zamani chakula kama hiki hakikuwepo Tanzania, lakini siku hizi vipo vingi tu. Tembelea supamaketi ukakutane na vyakula mbalimbali, vyenye afya, sisi tunakula ila ulajibwetu ni wa kijinga. Ndiyo! Ni wa kijinga...
  7. Kwanini baadhi ya "wanajeshi" wetu wana vitambi?

    Walengwa hapa ni JWTZ, POLISI, JKT, Magereza na Zimamoto! Wengi wa askari wenye vitambi ni "mabosi' Vitambi kwa askari wa vyeo vya juu vina manufaa gani kwao na kwa Taifa? Wanajua kuwa hivyo vitambi vinatusababisha "sisi" tusio na uzoefu wa masuala ya Kijeshi tuwaone kuwa ni wazembe? Mbona...
  8. Video: Kitambi ni chako

  9. Namungo FC yatangaza kuachana na Kocha Denis Kitambi

    Uongozi wa Namungo Fc unapenda kumshukuru Kocha Denis Kitambi kwa muda wote aliotumikia Timu kwa ushirikiano mkubwa ndani ya Timu yetu. Namungo Fc inamtakia kila la kheri Kocha Denis Kitambi katika safari yake ya ukocha nje ya Namungo Fc.
  10. S

    Wakati nikiwa mchunga ng'ombe Hanang nilifanikiwa kujua kumbe mlima Hanang una kitambi

    Katika hatua za ukuaji wangu nikiwa mdogo zamani! Nilibahatika kupata kazi ya kuchunga ng'ombe huko wilaya ya Hanang! Nikiwa huko porini nilifanikiwa kujifunza mambo mengi sana yakiwemo mbinu za kulinda mifugo, madawa za mitishamba ya binadam, ishara ya mmea kuashilia matukio ya njaa au hatari...
  11. Tumekuwekea hapa namna magonjwa mbalimbali yanavyo ibuka kitaalamu kutokana na Obesity

    Mafuta ya ziada kwenye tumbo (Obesity) husababisha mshipa unaoleta damu ndani ya ini (Portal vein) kujaa mafuta ya asidi yasiyo na kazi (free fatty acids), na kuongeza mkusanyiko wa mafuta kwenye ini. Mafuta pia hujilimbikiza kwenye seli za misuli. Ambapo sasa kunaanzishwa ukinzani dhidi ya...
  12. Bia bila kelele ni juisi, kipara bila hela ni kovu na kitambi bila hela ni uvimbe!

    Si maneno yangu, ni Mkuu wenu mpya Mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa kama kiongozi chunga sana maneno yako. Tunajua kitambi ni kiribatumbo, ni ugonjwa, kipara sijui ila kiongizi lazima uwe na staha.
  13. Kwa Sh4 milioni unakata kitambi, nyama uzembe

    Dar es Salaam. Wakati baadhi ya watu wakijinyima kula, kutumia dawa za asili, za kisasa na kufanya mazoezi ili kupunguza vitambi na uzito, Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (Mloganzila) imekuja na njia salama ya kuwawekea puto tumboni wenye matatizo hayo kwa Sh4.2 milioni. Tayari watu wameanza...
  14. Kitambi kimeharibu muonekano wangu, wadada hawanitaki tena

    Mimi ni handsome sana, mitaani kote wananisifu. Hata wanawake wananiambiaga. Lakini hawaachi kunikosoa tumbo langu hadi nimeanza kujichukia. Kwa kweli nakosa sana raha, namtongoza msichana ananiambia na huo mtumbo wako kama umemeza kifaru cha jeshi ntakupeleka wapi mimi? Six pack sio kwamba...
  15. Naomba suluhisho la kuondoa kitambi

    Habari waungwana, Kama mada inavyoonekana hapo juu naomba mwenye kujua suluhisho la kuondoa kitambi anisaidie, nilijifungua kwa operation mwaka jana 11 na sikufunga tumbo sasa badala ya kuendelea kupungua ndo kwanza tumbo linazidi kukua nakosa raha jamani hasa ukitaka kuvunja kabati nguo...
  16. B

    Msaada namna ya kupunguza kitambi

    Wadau nimekuwa nikitumia njia kadha kupunguza kitambi ikiwepo kufanya mazoezi kwa bidii,kutokula vyakula vya mafuta kwa wingi na kufanya diet.Lakini naona juhudi zangu zinagonga mwamba naelekea mwaka bila mafanikio.Mwenye njia ya ziada anisaidie...
  17. Kitambi FC.

  18. Yafahamu madhara ya kitambi kwa wanaume

    Yapo madhara mengi Na hutofautiana kulingana Na jinsia, umri, Na umbo. Nayo ni; - Kukosa choo, kupata choo kigumu, - Constipation au choo kuganda - Bawasili kutokana Na mfumo wa chakula kuzongwa Na taka mwili hasa masalia ya vyakula visivyo mengenywa (insoluble wastes) - Kupungukiwa Nguvu za...
  19. Aliyefanikiwa kuondoa kitambi naomba anishauri

    Nimekimbia, nimeruka nk lakini nimeshindwa kabisa kukiondoa. Naomba wale ambao mlikuwa na kitambi mtoe maelezo hapa nini mulifanya ili kukiondoa?
  20. C

    Chia seeds bora na safi kwa bei ya nafuu

    Nauza chia seeds zenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu. 1kg inauzwa 17,000/- gharama za kuletewa utajitegemea. 3kgs na zaidi zinauzwa 1kg@16,000/- unaletewa popote Dar es salaam. 1/2kg inauzwa 10,000/- gharama za kuletewa unajitegemea. Zinafaa kwa matumizi ya tiba lishe, pia zinafaa kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…