Sijui ni kweli au ni wasiwasi wao tu au nini labda... Jamaa watu wakienda na fomu za mtandaoni wanawarudisha huku wakiwaambia eti fomu hizo zinasumbua sana ni bora wakajaze fomu za mkono kwa watendaji
Kama ni hivyo naona kama hii huduma (online) haina maana yoyote ni bora ikaondolewa au...