Ghana imeunganisha mfumo wake wa kitambulisho cha taifa, hatua inayowaruhusu watumiaji kufanya malipo, kutumia ATM na kufanya miamala ya kimataifa kwa kutumia Ghana Card.
Taasisi inayosimamia mfumo wa utambulisho wa taifa (NIA), imesema huduma hii mpya inaongeza matumizi ya Ghana Card, ambayo...