Habari wanajf,Kitanda cha 5 kwa 6 na godoro lake vinauzwa kwa tsh laki 4 tu (400,000/=).
Vyote ni vipya kabisa na havijawai kutumia kwani alinunua mdogo wangu na kuviweka kwangu Sasa kuna PESA anaitaji ndio sababu kubwa ya kuviuza.
Vinapatikana TABATA KINYEREZI Dar es Salaam maongezi kidogo...