Kila mtu Kuna vile anavyotaka awe navyo chumbani kwake, nyumbani kwake, na mtaani kwake anakoishi ambavyo vinategemea na Ni chama na kiongozi gani anayeongoza Mtaa, Kijiji, Kata, Tarafa, Wilaya, Mkoa na Taifa.
Watu safari hii hawatapiga kura za jumla jumla Kama zamani Bali watajipigia kura wao...