Barabara ya Kitangiri Mihama Mkoani Mwanza ni mbovu sana, ilikuja Kamati ya Bunge ndiyo wahusika wakafukiafukia mashimo ili wakakakague zahati lakini mpaka sasa ni hatari, ni Wilaya ya Ilemela.
Hapo ni kutoka Kitangiri mpaka Zahati ila ukienda kama unaenda ziwani ni hatarii kwa Watu, wanatumia...