UTATA WA MUUNGANO WA KISIASA (COALITION) WA CHADEMA NA ACT-WAZALENDO KATIKA MACHO YA SHERIA
Mwaka 2019 bunge liliifanyia mabadiliko Sheria ya Vyama vya Siasa, Sura ya 258 kupitia Sheria Na. 1 ya 2019 ( the Political Parties (Amendment) Act, 2019) ambapo Kifungu cha 11 A kiliongezwa kwenye...