kitega uchumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Kagera: Makaburi zaidi ya 3600 kuhamishwa ili kupisha ujenzi wa kitega uchumi kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo

    Wakuu, Waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Deo Ndejembi ameitaka Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera kuwasilisha ofisini kwake nyaraka inayoonesha ni wapi makaburi yanayopangwa kuhamishwa yanapelekwa. Ndejembi ametoa maagizo hayo alipofika katika maeneo ya Makaburi ya...
  2. Stephano Mgendanyi

    NSSF Kutekeleza Mradi wa Uwekezaji wa Jengo la Ofisi na Jengo la Kitega Uchumi Dodoma

    NSSF KUTEKELEZA MRADI WA UWEKEZAJI WA JENGO LA OFISI NA JENGO LA KITEGA UCHUMI DODOMA *Ni katika eneo la Njedengwa, kujenga hoteli ya nyota 5 *Mkuu wa Mkoa asema uwekezaji huo utachochea uchumi na utalii Na MWANDISHI WETU, Dodoma. Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), unatarajia kufanya...
  3. mdukuzi

    Nilivyonasa kwenye lift jengo la Kitega uchumi kwa masaa 2 bila msaada. Ingekuwa Ulaya au Marekani ningefungua kesi ya kudai fidia

    Mwaka 2001 nilitoka zangu Temeke studio za Soundcrafters kwa Enrico kuchukua single yangu niipeleke Clouds. nikapitia IFM kwa mpenzi wangu wa kipindi hicho tukapata dinner,ilikuwa mishale ya saa mbili usiku,marehenu Steve B alinipa maagizo kuwa hiyo CD niiache kwa dada flani nadhani ilikuwa...
  4. Logikos

    Swali kwa Serikali; Mwananchi ni Mwenye Nchi, Nguvu Kazi au Kitega Uchumi (Chanzo cha Mapato) ?

    Nimeona niulize haya sababu kinachoendelea inabidi ukiangalie kwa macho yako na sio kusikiliza kinachosemwa.... Sababu Siasa zishakuwa Ulaghai; https://www.jamiiforums.com/threads/siasa-mamboleo-mdomo-unapojaribu-kulidanganya-sikio.2123568/ Je Mwananchi ni Mwenye Nchi ? Sidhani, huyu jamaa...
  5. Idugunde

    Sio kwamba Mbowe hajatambua kuwa alishafeli. Ni ile janja ya kuigeuza CHADEMA kitega uchumi ndio inamfanya akomae.

    Kama unaweza kujichotea mabil ya pesa na hakuna mtu wa kuhoji. Kwa nini usiwe mwenyekiti wa kudumu maisha? Hata kama utatambua kuwa kupata hata madiwani na wabunge ni ngumu maaana wananchi walishapuuza chama unachokimiliki kama kuku wa kufuga wa mayai. Unakuwa na kundi dogo kama la akina...
  6. Roving Journalist

    Rais Samia azindua Jengo la Kitega Uchumi Pemba, leo Januari 9, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua jengo la Kitega Uchumi la Zanzibar State Trade Cooperation - Pemba visiwani Zanzibar. https://www.youtube.com/watch?v=Xmw8ujSdvGI === Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka wakulima...
  7. FRANCIS DA DON

    Transformer la umeme mtaa wa Livingstone na Lindi lageuka kitega uchumi kwa wafanyakazi wa TANESCO

    Hilo transformer kila siku TANESCO wanapigiwa simu, wakija wanataka pesa kulitengeneza fuse yake, wanaitegesha tegesha kihuni huni tu ili ifanye kazi kidogo, ikifika kesho yake inazima tena, ukiwapigia simu wanakuja ila wewe uliyewapigia inabidi uwape pesa watengeneze, wanachokonoa chokonoa fuse...
  8. Roving Journalist

    Rais Samia akifungua Jengo la Kitega Uchumi la Kanisa la Anglikana - Central Tanganyika Dodoma

    https://www.youtube.com/watch?v=Fzph9HC7EzU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua Jengo la Kitega Uchumi lenye Ukumbi wa Huduma za Jamii la Kanisa la Anglikana- Central Tanganyika Dodoma tarehe 15 Agosti, 2023 jijini Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  9. M

    Wasanii na Bendi za Muziki Tanzania hivi mnajua kuwa kufagilia watu kwa kutaja majina yao ni kitega uchumi cha Bendi nyingi za Congo DR?

    Nilihudhuria live band moja hapa mkoani Dar es Salaam siku si nyingi na kilichotokea kilinisikitisha sana na kuamini kuwa bendi za Tanzania bado sana Kushindana na za Congo DR na Congo Brazzaville. Wakati bendi inapiga na watu tunaserebuka kwa sebene akaja mmoja wa marapa jirani yangu na...
  10. M

    Yanga SC mtumieni Tuisila Kisinda kama kitega uchumi wenu kwa kumruhusu acheze ndondo za mitaani

    Binafsi nina Timu yangu ya Mtaa inataka kushiriki Ndondo ila sina Winga Teleza Mmoja tu hivyo nawaonba Yanga SC mnikodishe Tuisila Kisinda aichezee Timu yangu na kila Mechi nitamlipa Shilingi Elfu Tatu na Mia Tano ( Tsh 3,500/= ) tu. Nitaishukuru wana Yanga SC wote mliopo hapa Jamiiforums...
  11. Von Bismarck

    Hifadhi ya Rubondo yageuka kitega uchumi kwa askari game

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza askari wa hifadhi za wanyamapoli walio waadilifu, kwa kuendelea kusimamia kulinda urithi wa maliasili tulizo nazo ikiwemo hifadhi ya Taifa ya rubondo. Kwa wasio ifahamu rubondo ni kisiwa kinachopatikana ndani ya ziwa Victoria. wilayani chato, Mkoani Geita...
  12. ryan riz

    Wananchi kugeuzwa kitega uchumi na baadhi ya Polisi ndio kumeleta chuki dhidi yao, wala sio masuala ya kisiasa

    Kichwa cha habari chajitosheleza Yaani uwe mshtaki au mshtakiwa bila fedha husikilizwi wala kusaidiwa. Tena ukiwaambia unajua haki zako ndio kabsaa. Umewatibua, watakutenga na hawatajali malalamiko yako. Huu ni ndio ukweli halisi nendankwenye vituo vyao kazi ukajionee, mara lete elfu arobaini...
  13. J

    Rais Samia: Jeshi la Polisi msitumie Sheria kama 'Kitega Uchumi'

    RAIS AWATAKA POLISI WASITUMIE MAKOSA KAMA KITEGA UCHUMI Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Polisi wasitumie makosa kama kitega uchumi kwa kutoza faini mbalimbali badala yake wajikite kwenye kudhibiti makosa Ameyasema hayo alipokuwa katika Ziara ya Kuzindua Kiwanda cha Ushonaji cha...
Back
Top Bottom